Pole sana mama angu

Kuna haja ya kuanza kuwafunda kina kaka mapema ili waweze kukabiliana na matatizo, kuna mazingira mke unamtengeneza wewe hata kama ni anaonyesha ubabe
aisee siku hizi kumtengeneza mke ni kazi ya ziada, utapoteza muda wako bure na huyo unayemtengeneza usimpate
 
Lets say for you.
for me........ okey
1. awe ni yule mwenye kujiheshimu
2. awe ni yule anayenipenda kwa dhati
3. awe ni mvumulivu
4. awe ni mshauri mzuri na ni mfariji kwangu
5. awe ni mbunifu
6. awe ni muelewa, anijue mimi vizuri ni wakati gani nataka nini na ni wakati gani sitaki nini
7. awe mkarimu kwangu, kwa marafiki na ndugu zangu
8. awe na maono ya maendeleo
na mengine mengiiiiiiiiiiiiiii, muda wangu hautoshi
 
unauhakika? Isije ikawa na zile sifa ambazo bibi angu alimsifia babu enzi zileee za analogy!
ha ha haaa! nina sifa za kisasa kabisaaaa, yaani cjui hata nikuambia je, ni sifa gani niliyonayo unataka nikutajie?
 
aisee siku hizi kumtengeneza mke ni kazi ya ziada, utapoteza muda wako bure na huyo unayemtengeneza usimpate

Kumtengeneza kuna aina nyingi mdau, kuna style ya akiwa bishoo wewe unakua bishoo zaidi yake na nyingine nyingi based on situation vinginevyo hakuna mtu ambae ni perfect kwa 100% kwani kila jinsia inaingia kwenye ndoa huku ikiwa na hofu (wanawaza kuachika), dawa ni kuingia huku unawaza vitu positive na vikitokea vitu negative unachukulia kama dharula na kuangalia namna ya ku-deal nayo
 
lazima ujifunze toka kwa walioshindwa ndo na wewe ujue ufanyeje, ukiwa mtu wa kutojifunza toka kwa wengine utaishiwa mbinu na ubunifu

Sasa mbinu alizotumia mwenzio akashindwa wewe zitakusaidiaje kwa mfano,chukua darasa kwa wale wanaosheherekea platinum jubilee zao bandugu......pengine hao rafiki zako na wenyewe walidesa pabovu vilevile, na kubwa usisahau Muumba yupo
 
Sasa mbinu alizotumia mwenzio akashindwa wewe zitakusaidiaje kwa mfano,chukua darasa kwa wale wanaosheherekea platinum jubilee zao bandugu......hao rafiki zako na wenyewe walideasa pabovu vilevile na kubwa usisahau Muumba yupo
hapo utakuwa umejifunza ni wapi alikosea na we usipite huko, kujua mwenzio alipokosea ni muhimu kwa kila jambo, mfano mi niligundua kuwa kuoa ni kujipanga baada ya kuona mwenzagu ambaye alikurupuka ndoa ilimshinda, baadaye nikaja kugundua kuwa mapenzi ya sasa ni pesa baada ya kuwashuhudia watu kadhaa waliokumbana na kadhia hiyo, so tunahitaji kujifunza toka kwa wengine aisee
 
Mi nawajua wasichana wengi tu wenye hizo sifa kama namba 1,3,4,5,6,7,8 shida hiyo namba 2 ndo vigumu kujua. We umekosa kweli au hufanani au unatafuta kusiko au unasema tu hawapo kwa sababu na wengine wanasema.
 
Mi nawajua wasichana wengi tu wenye hizo sifa kama namba 1,3,4,5,6,7,8 shida hiyo namba 2 ndo vigumu kujua. We umekosa kweli au hufanani au unatafuta kusiko au unasema tu hawapo kwa sababu na wengine wanasema.
kaka wanawake wanabadilika kama kinyonga, leo utawaona wana hizo sifa kesho hawatakuwa nazo, kwa kifupi ni tamaa ndo zinawafanya wawe hivyo na wengine msukumo wa rika na fashion zinawabadilisha
 
kuwa bishoo? okey, hapo humtengenezi ila yeye anakutengeneza sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…