Pole sana mama angu

Kuna haja ya kuanza kuwafunda kina kaka mapema ili waweze kukabiliana na matatizo, kuna mazingira mke unamtengeneza wewe hata kama ni anaonyesha ubabe
 
Acha kujifunza kutoka kwa walioshindwa,jitambue kwanza we mwenyewe ili ukutane na wanaojitambua
 
^^
Safi sana Mkuu,,
Tena andika..
Mabinti wa leo wanapenda pesa hawajali utu,
Tena wanapenda wao waoe sio waolewe,
Tena wanasema ikiwezekana mwanaume nae abebe mimba,
Tena neno utii kwa mume ni msamiati uliofutika ktk mioyo yao,
Kila siku wanatutukana sie maskini tusio na fedha kuwa ni wanaume suruali yaani kwao shida si za wote ni za wanaume tu,
Tena wanasema bila pesa,na elimu ya juu we boza,
Wanasisitiza kuwa Mke pesa,mapenzi ya dhati tukuletee huko kijijini.
Cc. Mrembo by Nature anaewaita wanaume mapu..mb na miss strong
^^
 
Last edited by a moderator:

kaujumbe kamekolezwa kidogo na kitu cha arachuga
 
wa kumuoa nani? hawa ninaokutana nao kila siku? hapana, wananitisha kwa kweli, labda nikimpata yule mwenye sifa ninazotaka anaweza akanibadili mawazo

kwani we sifa za kuwa mume unazo? Usije ukawa unahangaika bure wakati na wee sifa huna
 
Acha kujifunza kutoka kwa walioshindwa,jitambue kwanza we mwenyewe ili ukutane na wanaojitambua
lazima ujifunze toka kwa walioshindwa ndo na wewe ujue ufanyeje, ukiwa mtu wa kutojifunza toka kwa wengine utaishiwa mbinu na ubunifu
 
haa!!!! Best, mbona umekuja kwa speed hivyo??????
 
Last edited by a moderator:
Ni sanaa nzuri inawasilisha kwa kiasi kikubwa maisha ya sasa,
yap bora we umekuja kwenye point na umegundua kitu, kilichoandikwa si kile kinachomaanishwa, maana ya ujumb mzima yahusu mahusiano ya kidigitari yalivyo
 
haa!!!! Best, mbona umekuja kwa speed hivyo??????

^^
Ni kwa niaba tu ya wanaume wasio na kipato cha kuridhisha,wasio na elimu na ambao wana nia ya ndoa ila tu wameumizwa na wanawake.
^^
 
^^
Ni kwa niaba tu ya wanaume wasio na kipato cha kuridhisha,wasio na elimu na ambao wana nia ya ndoa ila tu wameumizwa na wanawake.
^^
chezea wanawake wewe, zamani nilikuwa nawaonea huruma, nilikuwa najisikia uchungu wanapotendwa, siku hizi hata siwaonei huruma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…