^^
Safi sana Mkuu,,
Tena andika..
Mabinti wa leo wanapenda pesa hawajali utu,
Tena wanapenda wao waoe sio waolewe,
Tena wanasema ikiwezekana mwanaume nae abebe mimba,
Tena neno utii kwa mume ni msamiati uliofutika ktk mioyo yao,
Kila siku wanatutukana sie maskini tusio na fedha kuwa ni wanaume suruali yaani kwao shida si za wote ni za wanaume tu,
Tena wanasema bila pesa,na elimu ya juu we boza,
Wanasisitiza kuwa Mke pesa,mapenzi ya dhati tukuletee huko kijijini.
Cc. Mrembo by Nature anaewaita wanaume mapu..mb na miss strong
^^
... wanawake wenzenu wa sasa hivi wako tofauti sana na nyinyi, ...
maana yake ni hivi wanawake wa sasa hivi hawana mapenzi ya dhati kama ya mama zetu zamani, hawana uvumilivu, hawajui majukumu yao na nkHii sentensi sijaielewa, lol!
Halafu hii kuoa ukiwa na miaka 60, duuu, utazaa vitukuu au utazaa kabla ya kuoa?
ha ha haaaaaaa! mjukuu anaweza kumuona ila mke halali wa nddoa asahau
mama nipe muda nikifika miaka sitini hivi nafikiri ndo utakuwa umri sahihi wa mimi kuoa MAANA NIMEONA MABINTI WANAPENDA ZAIDI WAZEE
we! ye anataka mke halali wa ndoa, kila siku ndo wimbo wake
hamna anayekimbia majukumu, mbona majukumu yasiyorasmi tunayaweza tutashindwaje yale yaliyorasmi