Jay One
JF-Expert Member
- Nov 12, 2010
- 18,535
- 20,730
Huyu bwana anastahili pole kubwa sana, humu kila mtu anadai eti ni mnafiki kwakuwa alimsaliti Lowassa kuwa rais wa nchi, hivi naomba kuuliza, JK alikuwa na mamlaka yepi ya yeye peke yake, kumkatalia Lowassa kuwa rais? Kwani CCM ingekuwa inataka Lowassa awe rais, JK angeweza kuizuia CCM. Acheni unafiki, JK hajamsaliti rafiki yake, ni CCM ndio ilikataa.
Piga mswaki ukalale, maana walau uwe na kinywa kisafi kwani akili yako sio safi hata kidogo na dhaifu sana