Pole yake........ Kwani kapatwa na nini? Tupe taarifa kwa undani....
Asante mkuu nisha poa, Nimeeleza hapo juu kdg. ndio hivyo ila nimerudi kazini kama kawaida lakini bado hali ya hewa baadhi ya maeneo sio nzuri matetemeko, storms ...@ elia, pole Elia,@DA kwani ilikuaje?
Asante mydear, ila bado nipo huku.. Yalikuwa ni mambo ya misele ya hapa na pale... But soon i will be there..Mdau mkubwa wa MMU Elia nakupa pole sana kwa misukosuko ya angani iliyokupata ukitokea kwa Obama. (Tusingekuwa na wewe leo hii)
Mungu ni mkubwa na amekuokoa. (Yakupasa ukamshukuru mungu kanisani ukiweza toa sadaka)
Hope utakuwa katika hali yako ya kawaida.
Pole sana mkuu.
DA
Asante mkuu, i never been in such a situation.. Thank GodPole elia, niliona sred ilopita nikazan ni vile videge vinavyoenda iringa - dom, yakubid umtangulize MUNGU kwa kila safar.
Nina kila sababu ya kumshukuru Mungu,Duhhh pole mkuu
naona na tetemeko tena la 5.8 hapo NY..
Hopefully hauko karibu ..
Nina kila sababu ya kumshukuru Mungu,
I cant explain everything,
I was there this Sunday everything was okey mvua kidogo tu
Na jana i was in DC napo mpaka naondoka ilikua ni mvua ya kawaida
Nipo mbali kwakweli Southern part

naona litaka ktuonyesha kwamba Elia alikuwa marekani,kwenda siyo tatizo karudi na nini,

naona litaka ktuonyesha kwamba Elia alikuwa marekani,kwenda siyo tatizo karudi na nini,
naomba nisikubaliane na wewe mpendwa,
kama umeishapanda ndege na ikaleta sintofahamu huko juu utakuwa unajua maini ya mwanadamu huwa yanapata hali gani tumboni katika hali hiyo.
naamini kujua sijui nani yuko au kafika marekani sio ishu ya kuandikwa hapa kwa magreat thinkers, kama ingekuwa hivyo, server za JF zingeishajaa siku nyingi kwa mambo kama hayo. by the way, mtu kama miss judith anapoandika hapa unadhani mara zpote yuko dar? hii dunia iko kama kijiji sasa, watu wanaingia na kutoka mara nyingi na hatulazimiki kusema leo tuko nchi gani na lini tumerudi, ila hutokea case nyingine unakuta umeishasema uko wapi au uliondoka/ulirudi lini tz hasa kwenye PM.
tusihusudu sana marekani wapendwa, ni nchi ya kawaida tu na katika baadhi ya maeneo kuna nchi nyingi tu ziko mbele yake. na zehemu nyingine zimetofautiana sana unaweza kudhani umevuka mpaka na kuingia nchi nyingine. tuwe na ubinadamu, msukosuuko wa ndege sio wa kubeza aisee, nimewahi kukiona cha moto lisbon 2008 na sitasahau, kama ni sala tulisali zikaisha
pole eliya, Mungu anakupenda sana
jina lake libarikiwe!
Pole mpendwa, mshukuru Mungu.