Pole sana Elia

Pole sana Elia

Dena Amsi

R I P
Joined
Aug 17, 2010
Posts
13,080
Reaction score
4,275
Mdau mkubwa wa MMU Elia nakupa pole sana kwa misukosuko ya angani iliyokupata ukiwa kwa Obama.
(Tusingekuwa na wewe leo hii)

Mungu ni mkubwa na amekuokoa. (Yakupasa ukamshukuru mungu kanisani ukiweza toa sadaka

Hope utakuwa katika hali yako ya kawaida.

Pole sana mkuu.

DA
 
Asanteni sana wadau, mimi bado nipo kwa Obama mpaka sasa. Katika mizunguko yakawaida ya hapa na pale nilikutana na hali ya hewa mbaya sana lilyofanya mawasiliano ya ndege yetu yapotee na kule tulikokuwa tunaelekea, ilikuwa ni safari ya lisaa limoja na nusu tulitumia masaa karibia mawili hewani rubani akijaribu kupata mawasiliano, baadae tukatua uwanja wa Richmond west virginia tukakaa zaidi ya saa nzima ndipo tukaendelea na safari. safari ya saa moja na nusu tulitumia zaidi ya masaa matano kufika mwisho wa safari, siokwamba ni kutaka kujulisha nilikuwa huku isitoshe haita saidia kwani ID na jina langu ni tofauti na hata lingekuwa ni jina langu still sio popular kiasi cha kutaka kujitangaza!na sio mara ya kwanza kutoka nje ya Tz! Namshukuru DA kwani ni mmoja ya wana jf nilio wa pm.
 
@ elia, pole Elia,@DA kwani ilikuaje?
Asante mkuu nisha poa, Nimeeleza hapo juu kdg. ndio hivyo ila nimerudi kazini kama kawaida lakini bado hali ya hewa baadhi ya maeneo sio nzuri matetemeko, storms ...
 
Mdau mkubwa wa MMU Elia nakupa pole sana kwa misukosuko ya angani iliyokupata ukitokea kwa Obama. (Tusingekuwa na wewe leo hii)

Mungu ni mkubwa na amekuokoa. (Yakupasa ukamshukuru mungu kanisani ukiweza toa sadaka)

Hope utakuwa katika hali yako ya kawaida.

Pole sana mkuu.

DA
Asante mydear, ila bado nipo huku.. Yalikuwa ni mambo ya misele ya hapa na pale... But soon i will be there..
sorry nilikuwa busy kwa ofc sikuona kama umeweka hii kitu hapa, najua umeshindwa kuelezea kisa kilikuaje but nimejitahidi kuelezea kdg, naikumbuka thread ya mdau mmoja last week aliuliza hivi 'akifa wana jf watajua?' (something like that) Namuunga mkono kuna haja ya kujuana ili ikitokea tatizo tupeane taarifa..
 
Pole elia, niliona sred ilopita nikazan ni vile videge vinavyoenda iringa - dom, yakubid umtangulize MUNGU kwa kila safar.
 
Pole elia, niliona sred ilopita nikazan ni vile videge vinavyoenda iringa - dom, yakubid umtangulize MUNGU kwa kila safar.
Asante mkuu, i never been in such a situation.. Thank God
 
Pole sana mkuu! Ila nilivyosoma ile ya kwanza nikajua ndo unarudi home! Kumbe ndo ulikuwa unaenda pole sana! Ila nijunze huo uwanja wa Richmond upo wapi mkuu nisaidie hapo2!
 
Duhhh pole mkuu
naona na tetemeko tena la 5.8 hapo NY..
Hopefully hauko karibu ..
Nina kila sababu ya kumshukuru Mungu,
I cant explain everything,
I was there this Sunday everything was okey mvua kidogo tu
Na jana i was in DC napo mpaka naondoka ilikua ni mvua ya kawaida
Nipo mbali kwakweli Southern part
 
eehhh
Kwakweli Mshukuru Mungu ..
lakini bado nakupa pole kwa yaliyo
kukuta tushukuru haikuwa Engine failure,
fire au carbon monoxide (escape)
yaonekana ni mawasiliano tu yalipotea..
 
<br />
<br />
naona litaka ktuonyesha kwamba Elia alikuwa marekani,kwenda siyo tatizo karudi na nini,

naomba nisikubaliane na wewe mpendwa,

kama umeishapanda ndege na ikaleta sintofahamu huko juu utakuwa unajua maini ya mwanadamu huwa yanapata hali gani tumboni katika hali hiyo.

naamini kujua sijui nani yuko au kafika marekani sio ishu ya kuandikwa hapa kwa magreat thinkers, kama ingekuwa hivyo, server za JF zingeishajaa siku nyingi kwa mambo kama hayo. by the way, mtu kama miss judith anapoandika hapa unadhani mara zpote yuko dar? hii dunia iko kama kijiji sasa, watu wanaingia na kutoka mara nyingi na hatulazimiki kusema leo tuko nchi gani na lini tumerudi, ila hutokea case nyingine unakuta umeishasema uko wapi au uliondoka/ulirudi lini tz hasa kwenye PM.

tusihusudu sana marekani wapendwa, ni nchi ya kawaida tu na katika baadhi ya maeneo kuna nchi nyingi tu ziko mbele yake. na zehemu nyingine zimetofautiana sana unaweza kudhani umevuka mpaka na kuingia nchi nyingine. tuwe na ubinadamu, msukosuuko wa ndege sio wa kubeza aisee, nimewahi kukiona cha moto lisbon 2008 na sitasahau, kama ni sala tulisali zikaisha

pole eliya, Mungu anakupenda sana

jina lake libarikiwe!
 
Thanks a lot
 
Pole mpendwa, mshukuru Mungu.

Nashukuru.
Hebu ona hapa chini!
Hiyo location vipi? we jirani yangu?

Join Date : 27th January 2011
Location : MAGOGONI`
Posts : 360

Rep Power : 21
 
Back
Top Bottom