masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 16,796
- 16,799
nimepata hasira sana mani******* walahi
maana huyo mdada wa kazi nilishamkutaga hapo saluni na ki ukweli yule bosi wake ni mtu poa sana nimemjua kitambo
na haki ya nani nikamwambia ulifanyaje ulivyojua akasema nilimfukuza tu basi....imagne
ningechana chana papuchi yake nikaushe nikaange nilie ugali
bi mkubwa kwema?
hii ni stori inayohusiana na mada hii ama?
mkuu kwa kiasi fulani nimekuwa na mwelekeo kama wewe.Wengi wetu tunaona watoto wa kazi ni kama watu fulani ambao hawastahili. Kuna baadhi ya familia ambazo watoto wa kazi hawajawahi kukaa meza moja na waajiri wao wakala siku zote wanakula jikoni au wanasubiri wamalize kula then wao yeye aanze kula hii inaweza ikawa ndo hatua mojawapo ya kuwaadhiri kisaikolojia hawa watu.Pili watoto wa kazi nao ni binadamu kama sie watoto wengi wanakopwa hela zao na nyingine hawalipwi kwa wakati wakati wewe ukikosa mshahara mwezi unaanzisha migomo.Hivyo ni rai yangu tuwatendee watoto wa kazi kama nasi tunavyotaka watutendee tukipandishwa mishahara au bisahara zinanawiri pia na sie tuwaongezee mishahara.Kama unaweza anza kukaa na wadada wa kazi meza moja mnakula pamoja na ikiwezekana na yeye aanze kuchukua chakula uone mafanikio au mabadiliko katika kuwatunza watoto wetu
Run a background check on househelps? Well next time I will read the CV and call up a few referees.PHP:
If the pay is enough? Enough is subjective. Why dont we ask a couple of employees in here if their pay is enough and see what answers we come up with!!
Kukagua why my son was threatened? Do you mean to say a two year old can do anytjimg that calls for such a threat?
It is because alikuwa anaitwa avishwe chupi but he was on the move like all toddlers are at his age. If you are patient enough since he can speak and I therefore cant get you an answer at this time, I could ask in a couple of years!!
In the mean time why dont you have yourself a baby or two then you can experoence a Parents peril.
Alichokifanya huyo jamaa baada ya kuona alichofanyiwa huyo mtoto ni cha kibinadamu sio?
Just exercise due diligence. It won't hurt to conduct background checks and contact some references.
I get that the sophisticated mechanisms for doing that may not be in place but at least you can try.
Myself I'd have possibly choked that girl to death.
any parent would do that...hizi nyingine ni porojo tu...ukute mtu anampiga mwanao kama mwizi utakumbuka haki za binadamu???!!! usintanie namnyonga...
Adrenaline aside, the fact many of these maids get treated badly remains.
Now, of course that fact doesn't in any way justify any cruelty they may mete out to the youngins.
But still it can't be ignored.
watotot wetu wanafanyiwa makubwa sana tukiwa hatujui
sasa huyo dada wa kazi kamuingizia lijiti kwenye papuchi huyo mtoto wa dada wa saluni na ni mdogo
Tobaaa yarabbbbby
very true, many of them are treated so so badly....i've seen documentaries how they revenge on their bosses from hell and i wasnt disturbed by what they did though they did horrible things!!! but this animal, totally unacceptable!
I couldn't finish watching that tape.
And I like to think I'm tough but that was too much even for me.
Even now my skin crawls when I conjure up the images of the little bit that I saw.
Just horrendous.
chochote kile haki-justify kitendo alichofanya yule dada.....kama aliona mateso yamezidi angeondoka,wapo madada wengi tu wanateswa mwisho wanatoroka au wanaomba kuondoka.....kitendo alichofanya ni cha kinyama na anastahili adhabu kali.