Pole sana Dada

Wanaume namba one source ya akina dada kuchelewa kuolewa, unakuta mtu kajiweka akijua mtu mmoja atamuoa wanakaa nae muda, siku isiyo na jina anamwacha. Laiti mkisema mapema hizo posa zingine zisingekataliwa.
Hamfai kuaminiwa
shida ni nyie bana.mfano hai nilikuwa na dem tumekaa miaka 3 nikijua kabisa nitamuoa nikawa nafwatilia mawasiliano yake bila yeye kujua nikagundua analiwa na libaba limoja linafanya kaz ppf na hilo libaba ni rafik na kaka yake uyo demu.Nikamwacha uyo demu.Utasema mimi ndio namakosa?au mimi nimempotezea mda?
 
No body is perfect! Kwann wadada tu? Sio wote wameandikiwa kuewa....
Wakiolewa

Kuoa/kuewa pia ni bahati maana kufuata ndoa kwa mkumbu ndo zile mnakaa ndan hamna amani bali majuto tuu
 
Kuna aliyeolewa,akawa mbabe na kunyanyasa mume wake,mume akaamua kuachana naye,je huyu hatima yake itakuwaje?
 
Wanaume tuna bahati sana na mambo ya ndoa. Hata uwe na miaka 50 utaona mtoto wa kike anatafuta mume wa miaka 50. Lakini huoni mwanaume anatafuta mchumba wa miaka 50.

jidanganye, labda miaka 50 na uwe na maisha ya kueleweka yaan uwe na hela ya kutosha. Lkn miaka 50 huna mbele wala nyuma thubutu! hakuna mtu atakae hangaika na wewe.
 
jidanganye, labda miaka 50 na uwe na maisha ya kueleweka yaan uwe na hela ya kutosha. Lkn miaka 50 huna mbele wala nyuma thubutu! hakuna mtu atakae hangaika na wewe.
kwa mwaume mwenye akil ya kawaida haiwezekan 50 years hana mbele wala nyuma
 
Yupo mmoja jirani yangu,alipokuwa anaaoma CBE walikuja wachumba karibia 4 wanataka kumuoa,akawa hataki na hawaambii kama hatak,akawa anawalia na pay zao wakijua binti atatoa jibu zuri,naw amemaliza ana mwaka Wa pili anatafuta ajira,ndoa anatamani ila Anaowapata ni hit n run,style yake mpya naw anagawa papuchi kwa vibabu ili vimpe ajira,anatamani hata umwambie nataka nikuoe uwe Mke wangu Wa pili
 
Nna miaka 67 na sina hela...

Kuna foleni ya wachuchu wabichi inanifuata...

Wasichana wa siku hizi sio kama wale wa zamani... Hakyamama nakuapia.
Aaaah wapi

Hawajajua kama huna

Nani anataka "shombo" la kizee bila hela

Yaani wakijua tu huwaoni hao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…