Nichumu Nibebike
JF-Expert Member
- Aug 28, 2016
- 8,658
- 15,793
Mheshimiwa Rais, baba Magufuli, unajua nchi ilipata shida kutafuta mtu atayefit kwenye viatu vya JK, ikakupata wewe.
Sasa vijana kwa miaka mingi wamekuwa wanatafuta role model katika suala la kujiajiri. Mungu si Athumani, Kingwangwala kajileta mwenyewe...
Ameonesha kwa vijana kuwa kujiajiri ni jambo rahisi kama vile A,B,C...
Sasa tunaokuomba umchomoe pale wizarani, aje naye ajiajiri huku ili tuweze kujifunza kutoka kwake kwa vitendo.
Kutokana na kuwa Kingwangwala ameshaajiriwa kwa mda mrefu, naamini neno mtaji, halitakuwa mtihani kwake. Na kwa vile ameshakuwa msomi kwa mda mrefu, naamini neno elimu halitakuwa changamoto kwake.
Kilichobakia ni kurudi huku kitaa na kuonesha ujasiri wa kujiajiri kwa vitendo...
Nategemea utamchomoa pale wizarani ili awe msaada kwa vijana ambao hawana ajira na hawajui nini cha kufanya...
Nakushukuru baba kwa kwenda nje ya nchi na kusafisha macho. Ulipokuwa kule nasikia ulikutana na viongozi kadhaaa. Nasikia hata yule raisi wa Misri, bwana Sisi, alikuja kukupigia magoti. Kwa nini asikupigie magoti wakati unawapa maji ya kunywa nchi yake yenye watu zaidi ya milioni themanini? Nilichojifunza ni kuwa nchi yetu ina nguvu sana Duniani, hatuhitaji kumiliki silaha za nyuklia. Vitu kama Ziwa Victoria ni silaha tosha juu ya nchi kama Misri na Sudan...
Tena nilisikia maraisi wengi tu walikuwa wamekuzunguka kushoto na kulia wakihitaji kusikia neno kutoka kwako... Hongera kwa hilo, hongera kwa kusafisha nyota. Ila kwa sasa nakuomba uanze na huyu kingwangwala...