johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Pole sana Kaka Pascal MayallaNikupe pole mwanajf mwenzetu Pascal Mayalla kwa msiba wa mwajiri wako wa zamani mzee Mengi wa IPP.
Najua Pascal Mayalla ulianzia RTD lakini ulifahamika na kuwa maarufu ulipohamia ITV na kuendesha kipindi cha Kipima Joto
rip R A Mengi!
"Pole sana Paskali"jamani hivi vifo vinatumalizia watu muhimu sana
Kila mtu ni muhimu katika nafasi yake...... Hata wewe!jamani hivi vifo vinatumalizia watu muhimu sana
Nikupe pole mwanajf mwenzetu Pascal Mayalla kwa msiba wa mwajiri wako wa zamani mzee Mengi wa IPP.
Najua Pascal Mayalla ulianzia RTD lakini ulifahamika na kuwa maarufu ulipohamia ITV na kuendesha kipindi cha Kipima Joto
rip R A Mengi!
Sure DTV and not ITVKipima joto ni ITV au DTV?
Wa Kukurupuka!Kipima joto ni ITV au DTV?
Unaifahamu DTV???Nikupe pole mwanajf mwenzetu Pascal Mayalla kwa msiba wa mwajiri wako wa zamani mzee Mengi wa IPP.
Najua Pascal Mayalla ulianzia RTD lakini ulifahamika na kuwa maarufu ulipohamia ITV na kuendesha kipindi cha Kipima Joto
rip R A Mengi!
Mkuu sema tu ukweli ulitaka afe naniliii na sio mengiNajaribu kuwaza kama Mungu angekuwa anatupa nafasi ya kuchagua nani afe, Nadhani Mzee Mengi angevutavuta muda kidogo. Ila kuna watu wangekuwa wako mbele ya kiti cha hukumu
Pascal Mayalla hajawahi kufanya kipindi cha Malumbano ya Hoja, kipindi alichokuwa akikiendesha ni KitimotoNikupe pole mwanajf mwenzetu Pascal Mayalla kwa msiba wa mwajiri wako wa zamani mzee Mengi wa IPP.
Najua Pascal Mayalla ulianzia RTD lakini ulifahamika na kuwa maarufu ulipohamia ITV na kuendesha kipindi cha Kipima Joto
rip R A Mengi!
Nani?Mkuu sema tu ukweli ulitaka afe naniliii na sio mengi
Nami nikirudisha kumbukumbu nyuma sipati hiyo picha ya ITV bali napata ya DTV.Kipima joto ni ITV au DTV?
This what I knew even myself; kipimajoto hakijawahi kuongozwa na kaka mkubwa Pascal mwanafunzi wa dada yako Dr. Tuli. Thanks Mwanafyale kwa kua na kumbukumbu sawa na zanguPascal Mayalla hajawahi kufanya kipindi cha Malumbano ya Hoja, kipindi alichokuwa akikiendesha ni Kitimoto
Kama asingeajiri watanzania angeajiri wakina nani? Si kunasheria inakataza kuajiri mtu asie mtanzania ispokua maeneo machache tu. Hata hivyo hakuajiri kama msaada ameajiri ili atajirike zaidi. R.I.p. Mengi.Dr Mengi alikuwa hazina ya taifa, tumshukuru Mungu kutuletea Mtanzania aliyejali walemavu na kuajiri wa Tanzania katika makampuni yake. Mungu amechukua kiumbe chake.
Lala kwa amani