Pole Mstaafu Jakaya Kikwete

Kuna mzee mmoja mweenye hekima alisema WATU WEMA HAWAFI MAPEMA.

Nina simanzi lakini najivunia maisha ya mzee Mwinyi
 
Wazuri hawafi kabisa pasi ni zile zile fupi fupi tuu, siku lile zee la hovyo "likifwariki" nitaenda msibani kwake na bango kubwa kabisa limeandikwa wazuri hawafi
siku lile zee la hovyo "likifwariki" nitaenda msibani kwake na bango kubwa kabisa limeandikwa wazuri hawafi[emoji1][emoji1][emoji1]
 
Wakati ndiyo amefurahia sasa, kabaki peke yakee...watu wasiofikiri watamuona ndiye nguzo iliyobaki, wengine watamwita baba wa taifa! Ilhali ana agenda zake ovu anaziendeleza bila hofu sasa.
 
Ujuaji mwingi kumbe ni useless
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…