mbeya yetu
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 487
- 102
Hivi mtu mlikiwa nae masaa yote pale kwanini haya maswala usimuulize pale pale nadhani angekupa majibu stahiki,sasa umeyaleta hapa kutaka kumdhalilisha au kutaka nini? Sijaelewa nia yakuleta haya hapa
aheee mama weee ungekua wewe ungefanyajeee!!!!
Tutolee ushuzi wako humu.... Usituharibie mada kwa kiherehere... Ulishasema hujaelewa haya chapa lapa!
shadcole nae si mwana cdm,mbona mnageukana dugu moya?..ngoja leo nikuache usikute beki tatu ndiyo kapost maana ni utumbo...
shadcole nae si mwana cdm,mbona mnageukana dugu moya?..
Sema yeye kasema ya moyoni,january kugombea urais si dhambi na hajavunja sheria.
Sasa sijui wasiwasi wenu unatoka wapi,eeh bana?.
Kama slaa ana wafuasi wengi na wanamkubali kama mnavyodai basi watampigia kura na atashinda,hamna sababu ya kupanick.
Sasa eti kwakua slaa anagombea urais watu wengine ndo wasigombee,kha...!!.
....
5......suala la tozo za simu ambalo ni mzigo wa dhambi kwa wananchi, limekushinda ukiwa kama naibu waziri wa wizara husika .....uoni ukiwa Raisi utaleta na kodi ya kusikiliza redio?
Kama ulikuwa kwenye hicho kikao si ungemuuliza hayo maswali?kama sio unafiki ni nini..
Gongo+viroba=bavicha