Pole January Makamba

january nyota yake imefifia kama ya sumaye na membe,he cant sell,hauziki then kafika alipo kwa kubebwabebwa.we need economic creative leaders na watendaji also wawe magenious...can you imagine mtu aliyepata div 4 form six how come aongoze nadhani hataweza kuhimili challenges kama za akina Tundu lisu even mnyika.The guy has to stop dreaming
 
Div 4 form six, form 4 aliiba mtihani. Atupe record zake katika utendaji cv sihitaji coz inajulikana kuwa amefika hapo sababu ya baba yake kuwa katibu mkuu wa chama cha mabina. Hii ni laana kwatu kwamba hata punguani anautaka urahisi. Tuombe Mungu atuepushe na hii dhahama.
 
Hata wendawazimu sasa watataka uraisi! Kwa kipi hadi awe raisi? amefanya nini? Ametoka wapi? Hebu tujue pia historia yake tangu chekechea.

Nani anamdanganya? Nani alimwambia tunamhitaji awe raisi wetu? Namshauri aache ghilibu za kiuwendawazimu huyu mtoto!
 
Mkuu we ni mnafiki ulishindwa nin kuhoji huko hotelini. BTW ni haki ya kikatiba kwa January kugombea urais kwani tatizo ni nini?

Go Makamba.
Kweli ana haki ya kugombea urais lakini je urais unauzwa shilingi ngapi?
 
Hivi kumbe huwa kuna wainjilist wanafik kama huyu! Manabii wa uongo hawa, mnafik mkubwa wewe
 


Naibu Waziri.......kwenye kikao cha Baraza la Mawaziri haingii hivyo hafahamu chochote kuhusu uendehswaji wa serikali. Bungeni haweze tetea watu waliomchagua kwa kuwa anakaa upande wa serikali.
 
yaani baada ya nchi hii kuongozwa na kikwete kila mtu anajiona anauwezo wa kuliongoza taifa hili hata " ma ndezi" kama january eti naye anataka uraisi...

Hapa ndipo tulipofikia ndugu yangu.
 
Akili za January Makamba, Zitto Kabwe ni sawa sawa...wote hawa ni wazandiki. Siku watu hawa wakipewa hata uwaziri mkuu nahamia Sudan Ya Kusini.
 
January kachanganyikiwa huyu juzi tuu kawambunge leo raisi Khaaaaaaaaaaaa
 
kamanda mbona iko edited...plz mshauri january nyota yake imefifi kama ya membe na sumaye atulie,hapo alipofika ni msaada tu wa baba yake kutumia ukatibu mkuu wa chama kujinufaisha na familia yake,hana sifa zozote za kuwaconvice watanzania kiutendaji hana creativity yoyote pia hatuwezi kuongozwa na mtu aliyepata div four form six the guy ni kilaza kabebwabebwa tu,afanye kazi tuzione ndio japo atakuwa recognazed kama akina mwakiembe au magufuli
 
Hivi kumbe huwa kuna wainjilist wanafik kama huyu! Manabii wa uongo hawa, mnafik mkubwa wewe

Unyanga Punguza Jazba lipi Jema aliyosema yaliyotokea au waliokaa kimya? Tunachotaka ni uthibitisho kutoka kwa mhusika kuwa hayo yaliyosemwa ni ukweli au la!unafiki wa mleta uzi hapa hausiki.
 
Kwanini uhonge watu wakuchague au wakusikilize kwenye mikutano? Kwanini hawa "chama tawala" wasijifunze kwa wengine? Hata kama kusoma hatujui hata picha hatuoni? Eeh Mungu nijaalie nione 2015 itakuaje...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…