Inawezekana kawa mwenyewe aliyekuwa anaomba uraisi JF bwana udanganyi mtu ,Maaskofu wa dhehebu lipi wanaweza kumwalika na kulipwa elfu hamsini those scholars , I doubtHapo ndipo pameniacha hoi, Yaani Maaskofu ninavyowafahamu wamwalike Makamba?? Ngoja tusubiri barua ya mwaliko kutoka kwa Kamisaa
ant you sayng January was invited in Mwanza ha ha you must be frustrated some one spilled the beans ,January the alleged corrupt he should visit JF and tell the truth
Mkuu asante sana kwa majibu yako, hivyo nasubiri huo mwaliko wa Maaskofu pamoja na sauti. Kama unakavideo tuweke kabisa ndio kakataka mzizi wa fitina.
Hivi kuna mahali mleta mada ameandika maaskofu?? Sidhani.
Ameandika Wachungaji na Wainjilisti wa madhehebu mbalimbali ya kikristo.
Kule ukanda wa ziwa kuna madhehebu mengi sana ya hizi kanisa mbao kama pentekoste, wathethalonike, wabatisti, wasabato waanglikana full of evangelism ndiyo maana wainjilisti ni wengi na wachungaji mbao
Hatua ya kwanza imepingwa kwa hiyo ni kweli Makamba alikuwa Mwanza na aliongea na Maaskofu..
Hatua ya pili tunaomba ulete hapa mwaliko kutoka kwa Maaskofu kwenda kwa Bwana Makamba.
Hatua ya tatu tuwekee hiyo sauti ya Makamba akiwa anaongea na Maaskofu
Asante
Hapo ndipo pameniacha hoi, Yaani Maaskofu ninavyowafahamu wamwalike Makamba?? Ngoja tusubiri barua ya mwaliko kutoka kwa Kamisaa
Basi wewe huwajui maaskofu kama kweli una-doubt wanaweza kumualika mwanasiasa. Sio jambo la ajabu kwa wao kuwa na round-table discussions na viongozi wa kisiasa kwa vile nao ni sehemu ya jamii. Tatizo ni pale kikaragosi anakuja hapa JF na kudai kwamba maaskofu wamepewa rushwa, ya tena elfu 50,000 wakati hakuna ukweli wowote. Hilo ni tusi kubwa kwa maaskofu wetu kuliko kwa January Makamba ambaye ndiye mlengwa wa tusi hilo.
Haha try to be objective we know he is a member here: if it wasn't JF rules we could as well expose his ID, but that is not a big deal ,for now we want him to come clean: why he is going under the carpet ,if he thinks he is fit for Number one office why don't he come open to the public instead he is using money:Bahati nzuri sana January hafanyi siasa humu JF. Not every little accusation deserves a response from a politician. Otherwise it would be paralysis. Strong leaders rise above petty discussions and frivolous accusations.
Hivi mtu mlikiwa nae masaa yote pale kwanini haya maswala usimuulize pale pale nadhani angekupa majibu stahiki,sasa umeyaleta hapa kutaka kumdhalilisha au kutaka nini? Sijaelewa nia yakuleta haya hapa
Hizi ndizo siasa za tanzania kisha watu mtasema hakuna Udini. Yaani kingozi anakwenda kuomba kura zake kwa viongozi wa dini ili kuwashawishi wafuasi wake?. Na kwa bahati mbaya zaidi kingozi wa dini anajisifia kwa ujio huo na kutuonyesha nguvu walokua nayo ktk maamuzi ya kumpitisha kiongozi akitoa mifano ya manabii!...
Eeeb Mungu wee ulotuumba pasipo makundi yaha ya kiimani, leo vilivyoumbwa na binadamu ndivyo vinatutawala. Na ikiwa sisi wananchi wenyewe Ndivyo Tulivyo (Miafrika) itakuwaje rahisi kuondoa Udini nchini!
Hakuna mchungaji mnafiki kama wewe.