Pole Jacquiline, walimwengu ndo tulivyo

Ngoja tuzike mchaga Mwenzangu kuanzia alhamisi au ijumaa Instagram patawaka Moto
Huyo mwandika Uzi kazaliwa Miaka ya 90 mpaka 2000 anamjua vipi anti WA kigoma?! 😂😂😂
Skunyingine usinitag manyuzi ya namna hii plz am mourning now
Cc: 50thebe Smart911 mahondaw
Sawa kila la kheri na roho yako ya kwanini
 
Tuone na huo uzushi wenu mtafika wapi
Hivi Aikambee na ww ulikuwepo Dubai?
Unaamin vp kila uzushi unaouskia usiwe mjinga wew?


Mimi siyo mjinga. Siamini uzushi. Sikuwa Dubay. Ila huo unaosema ni uzushi kuna haja ya kuuchunguza kwa sababu:

1: Inatumika nguvu nyingi sana kuupinga.

2: IGP naye kama mkuu wa usalama ameona pia kuna haka ya kuuchinguza na akasema watu watulie.

3: Historia na hali halisi jumlisha mazingira, inafanya kuhitajike uchunguzi.

4: Kifo chochote kwa mtu yeyyote huthibitishwa chanzo.

Kwa hiyo sioni sababu ya wewe na wenzako kutumia nguvu nyingi kuuzima huo mnaoita uzushi wakati wakubwa nao wanasema tutulie ila ninyi mnawashwawashwa tu
 
Na kama sio kweli utasema nn, kuweni waelewa, mnafata ya mange kimambi kama alikuwepo tumieni akili

Hivi umenielewa kweli.

Mimi nilikuwa ninajibu hoja ya kwamba Wachagga wanaua.

Ndiyo nikauliza kama wanaua kwanini hawakamatwi?

Kichwa chako kinawaza Dubay tu.

Acha kurukia
 
Mtu akishaanza "Haki Itatendeka sijui Justice will prevail" huwa naanza kumtilia shaka kwa kiwango kingine kabisa.
 
Ukweli hani au ulikua kimada cha Mengi nini, Linda Rinda lako kijana acho shobo na mali za wanaume wenzio. Utagongwa tako kama mzinga wa konyagi.
Kyasaka wanaumwa baada ya kusikia kyasaka mwenzako kawekwa mtu kati na jamii inataka ukweli uwekwe wazi.
Acheni kuweweseka mende ninyi
 
Ukweli hani au ulikua kimada cha Mengi nini, Linda Rinda lako kijana acho shobo na mali za wanaume wenzio. Utagongwa tako kama mzinga wa konyagi.


Sijataja jina la mtu. Sijui povu la nn. Hata sijakuelewa
 
Kila jamii inayo sifa nzuri na mbaya mnapozungumzia sifa mbaya za wengine nanyi zenu zinajulikana na kuzungumzwa

Wanawake wa kichaga wanajulikana tabia yao ya kuua waume zao ili wapate mali
Hamna anayemuua mtu, sema wanasingiziwa Sana cause ikitokea kifo kikatokea mwanamke wa kichaga hawez kukubali kudhulumiwa Mali na mashemeji au yeyote, na wakishanyimwa ndo wanaanzaga kusingizia mtu ameua.
 
Mimi nilidhani tayari report imetoka na kuonyesha hakuna chochote kilichotendeka dhidi ya mzee. Kumbe hata wewe unadhani tu!!. Binadamu ni MTU mwenye siri mno moyoni uwezi kumtambua kwa kumtazama.
Na nyie pia muache uzwazwa wa kuamini kila mnaloambiwa
 
Ngoja tuzike mchaga Mwenzangu kuanzia alhamisi au ijumaa Instagram patawaka Moto
Huyo mwandika Uzi kazaliwa Miaka ya 90 mpaka 2000 anamjua vipi anti WA kigoma?! 😂😂😂
Skunyingine usinitag manyuzi ya namna hii plz am mourning now
Cc: 50thebe Smart911 mahondaw
Na itakuwa vizuri wasikutag
Na hongera nyingi sana zikufikie kwa kumjua vizuri huyo ant wa kigoma kuliko hata mume aliemuoa.
 
Sema usiogope ila tuu yawe ya kweli sio unakurupuka ili mradi uvute attention za watu huku unaumiza hisia za wengine
Yaani ukiangalia situation hii huamini kirahisi unaenda zanzibar kwa holiday unarudi mfu.
Naukienda holiday uko na mabodgurd na wafanyakazi ila safari hii mko wenyewe.
Tu no workers msituzibe macho maana tunaona sema hana undugu na walio na midomo.
 
Wacha kiherehere cha kujikuta umeumia kuzidi watoto wa marehemu na kuwapangia sijui upuuzi wa mila sijui kitaeleweka sijui takataka gani kwa kujivisha ukabila. Yule ni Don sasa wewe kapuku jikute unamjuajua kijinga jinga utapasuliwa katikati ya matter_core shauri yako.
Alafu ukute ni jinaume hilo lijitu
Mattercore yake:D:D:D
 
Kila jamii inayo sifa nzuri na mbaya mnapozungumzia sifa mbaya za wengine nanyi zenu zinajulikana na kuzungumzwa

Wanawake wa kichaga wanajulikana tabia yao ya kuua waume zao ili wapate mali
Kwendraaa na generalisation yako.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom