Pole Jacquiline, walimwengu ndo tulivyo

freshgirl

Senior Member
Jan 5, 2018
123
129
Yaan kikitokea kifo waswahili lazima tutafuta mchawi nan

Hakika bila shaka jack na mzee mengi walikuwa na mapenzi ya dhati walipendana kiukweli hawez kufanya upuuz huo wanaoufikiria hususan kwa baba wa watoto zake kama angefanya hivyo hiyo dhamb ingemsuta maisha yake yote.angeiweka wap sura yake anapokuwa na watoto zake.Acheni uzushi
Binafs bado nilikuwa nayaona mapenzi ya dhati ya jack kwa mzee mengi hata kama angefilisika naamin angeendele kumpenda kwa dhati

Binadamu tusipende kuzua mambo tusiokuwa na hakika nayo. Fitina ni jambo baya sana haswa katika mahusiano ya watu.watu weng walikuwa wanamuonea husda jack kupendwa na mengi na baada ya kutokea hiki kifo wanataka kuzidhihirisha kwa waz husda zao zilizokuwa zimejificha

Justice will prevail
Be strong
images (14).jpeg
 
Yaan kikitokea kifo waswahili lazima tutafuta mchawi nan

Hakika bila shaka jack na mzee mengi walikuwa kwa mapenzi ya dhati walipendana kiukweli hawez kufanya upuuz huo hao kina mange wanaoufikiria
Binafs bado nilikuwa nayaona mapenzi ya dhati ya jack kwa mzee mengi hata kama angefilisika naamin angeendele kumpenda kwa dhati

Binadamu tusipende kuzua mambo tusiokuwa na hakika nayo. Fitina ni jambo baya sana haswa katika mahusiano ya watu.watu weng walikuwa wanamuonea husda jack kupendwa na mengi na baada ya kutokea hiki kifo wanataka kuzidhihirisha kwa waz husda zao zilizokuwa zimejificha

Justice will prevail
Be strongView attachment 1088944
Ndiyo wewe kwenye hii picha? Nitakupataje dada?
 
Maneno kama hayo yanayosambaa kama huna moyo wa chuma yanaumiza sana, inatakiwa uwe fedhuli wa roho mbaya kuweza kuyahimili, sijui Dada Jacky yupo kwenye hali gani kwa sasa, Mungu amzidishie kuwatia moyo wafiwa, time will tell
 
Umaskini na wivu ni sumu mbaya sana tuliyonayo watanzania,,,

wachaga kutokana na tabia yao mbaya ya kuua waume zao wanahisi na wanawake wa jamii nyinginezo tuko hivyo

Mungu amtie nguvu katika kipindi hiki kigumu
 
Yaan kikitokea kifo waswahili lazima tutafuta mchawi nan

Hakika bila shaka jack na mzee mengi walikuwa na mapenzi ya dhati walipendana kiukweli hawez kufanya upuuz huo wanaoufikiria hususan kwa baba wa watoto zake kama angefanya hivyo hiyo dhamb ingemsuta maisha yake yote.angeiweka wap sura yake anapokuwa na watoto zake.Acheni uzushi
Binafs bado nilikuwa nayaona mapenzi ya dhati ya jack kwa mzee mengi hata kama angefilisika naamin angeendele kumpenda kwa dhati

Binadamu tusipende kuzua mambo tusiokuwa na hakika nayo. Fitina ni jambo baya sana haswa katika mahusiano ya watu.watu weng walikuwa wanamuonea husda jack kupendwa na mengi na baada ya kutokea hiki kifo wanataka kuzidhihirisha kwa waz husda zao zilizokuwa zimejificha

Justice will prevail
Be strongView attachment 1088944
Je amekuhadithia kilichotokea huko ?! Ikiwa jambo hilo halina uhalisia na walaaniwe waliolizusha. Lakini kama kuna chembe kidogo cha ukweli amewasaliti wanaye kwa Baba yao. Watasimangwa maisha yao yote.
 
Umaskini na wivu ni sumu mbaya sana tuliyonayo watanzania,,,
wachaga kutokana na tabia yao mbaya ya kuua waume zao wanahisi na wanawake wa jamii nyinginezo tuko hivyo
Mungu amtie nguvu katika kipindi hiki kigumu
Hakuna utafiti unaoonyesha wachaga huua wame zao, ni dhana potovu tu kama tunayoijadili hapa, kwa wanaume wengi wenye mali maneno husemwa, haijalishi Mgogo, Mkwere , Mchaga au Mdigo, watanzania tunapenda sana hearsay
 
Watusi mnaangaika sana.

"Watoto zake" ni moja ya kiashiria kwamba mtoa mada ni Myarwanda.

Naona anatetea Mtusi mwenzake.

Wachagga Siku zote Tupo macho.

Hatuwezi kuacha jambo lipite hivihivi wakati kuna mazingira na kelele za ajabu.

Chagga ni Taifa, ni damu, ni jamii imara.

Semeni sana, ila ukweli utajulikana tu.
Kila jamii inayo sifa nzuri na mbaya mnapozungumzia sifa mbaya za wengine nanyi zenu zinajulikana na kuzungumzwa

Wanawake wa kichaga wanajulikana tabia yao ya kuua waume zao ili wapate mali
 
Hakuna utafiti unaoonyesha wachaga huua wame zao, ni dhana potovu tu kama tunayoijadili hapa, kwa wanaume wengi wenye mali maneno husemwa, haijalishi Mgogo, Mkwere , Mchaga au Mdigo, watanzania tunapenda sana hearsay
Hulka yoyote unaweza kuikuta kwa mtu wa kabila lolote,,, tatizo watanzania ni wanafiki sana akifanya mmoja wanajumuishwa jamii nzima anapotokea
 
Yaan kikitokea kifo waswahili lazima tutafuta mchawi nan

Hakika bila shaka jack na mzee mengi walikuwa na mapenzi ya dhati walipendana kiukweli hawez kufanya upuuz huo wanaoufikiria hususan kwa baba wa watoto zake kama angefanya hivyo hiyo dhamb ingemsuta maisha yake yote.angeiweka wap sura yake anapokuwa na watoto zake.Acheni uzushi
Binafs bado nilikuwa nayaona mapenzi ya dhati ya jack kwa mzee mengi hata kama angefilisika naamin angeendele kumpenda kwa dhati

Binadamu tusipende kuzua mambo tusiokuwa na hakika nayo. Fitina ni jambo baya sana haswa katika mahusiano ya watu.watu weng walikuwa wanamuonea husda jack kupendwa na mengi na baada ya kutokea hiki kifo wanataka kuzidhihirisha kwa waz husda zao zilizokuwa zimejificha

Justice will prevail
Be strongView attachment 1088944
Thread yako hii haiwezi kuzima ukweli uliopo. You will be shocked. Tanzania tutaungana wote KUHAKIKISHA ukweli umesimama. Hivyo kama Jack is inoccent itathibitishwa. Kikosi kazi kiko kazini. Tusubiri.
Ujasusi una mbinu nyingi mno.
 
Sasa kama wanaua, kwanini hawachukuliwi hatua za kisheria?

Serikali haioni?

Acheni uzushi.

Huyu Malaya wa ki2si lazima anyooshwe nyoko ninyi
Ujue nini chizi akikuibia nguo zako cha kufanya ni kutafuta namna ya kujisitiri maana kumkimbiza ni yule aliye uchi kuonekana chizi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom