Pole binti

hawa ni wanyama sio binadam - dawa yao ni kukabidhiwa Daesh tu
 
Haya mambo ya watu kujitoa akili ndo yanayonifanyaga kuwachukia wanaovaaga hyo miguo yaan ujingaujinga upuuzi tu
 
Haitoshi kuidiscus hivi, labada litafutwe suluhisho sasa wawe wanaruhusiwa kwenda na wake / mademu zao!
 

Mimi naona itakuwa ni MSUMBIJI. Huenda askari hao ni wa RENAMO wapinzani wa FRELIMO, kama ilivyo kwetu CHADEMA/CUF/UKAWA wapinzani wa CCM.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…