Pole binti

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
280,676
729,842
00a02766a059963195e8a020a0a033aa.jpg
 
Democratic republic of Congo
mimi nilipoona hiyo picha mwazoni tu, nikajua lazima itakua DRC tu hii
yaani kule watu wanaishi kama wanyama, huwezi amini hadi leo hii kuna watu wanawinda binadamu wenzao msituni na kuwafanya kitoweo
achilia mbali hilo la kubaka, ubakaji kule ndio staili ya kumpata mwanamke huko Congo vijijini, sio kutongoza
 
Tujiulize ni nani anaye wapatia silaha,mavazi,vyakula pamoja na vifaa vya mawasiliano?
hao wana uniforms,
ndio wanajeshi "wanaolinda amani" mkuu, wengine wametokea tz, ila ufirauni wanaofanya hausimuliki
 
Back
Top Bottom