Pole apewayo mwanaume baada ya kuduu inamaanisha nini?

[emoji23][emoji23][emoji23] kwa mimi sijui inamaanisha nini ila nimekua nikisikia mwanaume inabidi apewe pole, apongezwe au ashukuriwe baada ya tendo.
Nadhani ni kumpa moyo tu na kumfanya ajisikie kidume. Hiyo nayo ni kazi jamani!!!
 
Unamaanisha POLE au POLE POLE?
1.POLE maana yake kazi nzito na umepunguza protini zako
2.POLE POLE maana yake yawezekana anaumia. Huenda ikawa mashine yako kubwa inamuumiza
 
Pole na ahsante ni ishara ya shukurani kwa mwanamke. Mimi najisikia furaha sana mwanamke akiniambia hivyo. Na niwape siri mwanamke unapokuwa naye 6*6 na ukamridhisha 100% kwa wakati huo huwa hawafikirii jingine tofauti na wewe. Na huwa yupo tayari kukufanyia chochote ili ufurahi. So pole humaanisha huruma maana huwa tunatokwa na jasho jingi na jasho ni ishara ya kuchoka. Pia himaanisha ahsante
 
Huwezi sikia pole kwa mkeo wa ndani sababu wanaume wengi nyumbani huwa mzinguo tu. Kamoja then chali
 
Hebu wanawake tupeni jibu
 
Unamaanisha POLE au POLE POLE?
1.POLE maana yake kazi nzito na umepunguza protini zako
2.POLE POLE maana yake yawezekana anaumia. Huenda ikawa mashine yako kubwa inamuumiza
Hizo zote hutolewa kwa nyakati tofauti mkuu
 
Nimekusoma mkuu ila natamani wanawake wajibu
 
Huwezi sikia pole kwa mkeo wa ndani sababu wanaume wengi nyumbani huwa mzinguo tu. Kamoja then chali
Yaani mkuu huwa napiga kimoja tu cha pili mpaka nilazimishe maana anakuwa kachoka mbaya
Na pole ni nyingi pindukia
 
Hii comment nafikiri imemaliza ukweli na nimependa namba moja.
 
Tatizo mkuu sio wale wa pesa wa pesa nimeshajaribu hawanaga hizo tena swali yao hi hili
"Hujamalizatu"
Wale hawanaga pole kabisa mkuu maana wanapenda kibao kimoja tu kile cha kwanza hawataki cha poli maana wanasema huwa tunakawia kupiga bao
Wake wa pesa wanakwambia fanya haraka hii huduma inasubiriwa na watu wengne mda pole kapewe na mkeo
 
Huo muda wa kutoa pole anautoa wapi? Mi ninapomaliza yeye huwa kausingizi kamempitia hadi nitapomuamsha round ya tatu kile cha kwanza sihesabugi
 
Wanaoniambia hiv huwa hawaombi hela katk kipindi cha namna hii
Nilishawagundua hawainguzagi kabisa mambo ya pesa kunako wakati huo
Kama ni kuomba anaweza potea muda akija kuonana pasipo faragha ndo anaomba hata ukimwambia huna hawanashida.
"Wanaoniambia hivi" maana yake unatembea na zaidi ya mmoja. No wonder wanakupa pole. Unajiua faster faster. Acha uasherati. Hiyo energy ipeleke kwenye mambo ya maendeleo.
 
That is drama at work my friend, subiri mzinga
 
"Wanaoniambia hivi" maana yake unatembea na zaidi ya mmoja. No wonder wanakupa pole. Unajiua faster faster. Acha uasherati. Hiyo energy ipeleke kwenye mambo ya maendeleo.
Haya mkuu lkn ujue hii ni njia nyingine
 
ni kujali tuu na upendo.. na ku`appreciate the energy u used to make her and urself cum...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…