Nkolandoto
JF-Expert Member
- Sep 18, 2016
- 4,102
- 4,032
Hapo sasa
Mzigo uliotua kwake ni lishe tosha ndio maana anashukuruWakuu habari za weekend!!!
Natanguliza shukrani zangu kwenu kwa wote mtakaosoma ujumbe na wale mtakaonijibu na hao watakaopita kimya
Nimekuwa nikitatizwa na hili jambo pindi mwanaume anapomaliza kubanjuka mwanamke anatoa neno hili
"Pole pole sana mpenzi" huku mwanaume ukitokwa na jasho na mhemo wa juu kama ulikuwa unambio ndefu sana
Hivi hii inaashiria nini kwa mwanaume?
Na mwanamke anakuwa na maana gani kwa mume
Natanguliza shukrani
Maana yake anakaribia kuchepuka au?Simple sana mkuu hiyo pole maana yake jamaa anakaribia kupigwa kizinga muda sio mrefu
Mkuu hujawahi kutokewa na hii kauri kutoka kwa dada hawaWizi huo, pole wakati ni raha niliyoitafuta mwenyewe.
Mkuu hebu jaribu kuninyambulishia hasa kama wewe wanawake huwa mnamaanusha nini ?Ni safari ndefu
Nimetafakari nikachukua hatua hii ya kuleta hapa ili nijua ni kwa nini inakuwa hivo?....., Tafakari.. Chukua Hatua
Mkuu wanasema pole navojua pole sio kushukuru mkuuMzigo uliotua kwake ni lishe tosha ndio maana anashukuru
Hahahahaaaaa, ina maana kama ulitoa 5000, uongeze kidogo au?Mkuu wanasema pole navojua pole sio kushukuru mkuu
Hebu jaribu kuninong'oneza japo kidogo tu hii watoapo pole inamaana gani?
Kama anajali kazi yangu poa ila kama anajali kuhangaika kwangu mpaka kabao atakuwa kaniteka burehiyo kauli huwa inaongeza hamasa flan hivi....pia inaonesha mwanamke anajali
Tatizo mkuu sio wale wa pesa wa pesa nimeshajaribu hawanaga hizo tena swali yao hi hiliHahahahaaaaa, ina maana kama ulitoa 5000, uongeze kidogo au?
Hakielimu....., Tafakari.. Chukua Hatua
Wa aje tena mkuu?Hapo ndo zidisha uangalifu