Anunue bila kushauriwa?Vipi , ulinunua?
Anunue bila kushauriwa?
Nitajie comment no. iliyomshauriAlikwambia hajashauriwa?
Nitajie comment no. iliyomshauri
Kwa unavyofikiria kwani haiwezekani kuwa alishapata ushauri hata kabla hajauomba humu? Acha kuwaza cm moja Mkuu, panua mawazo yako uelewe kuwa mm nime base kwenye huu mkeka hapa na si vingine, vyote vya pembeni unavyowaza vinaweza kuwa vya kweli lakn havina ushahidi hapa.Haiwezekani ushauri kuupata nje ya jf?
Kwa unavyofikiria kwani haiwezekani kuwa alishapata ushauri hata kabla hajauomba humu? Acha kuwaza cm moja Mkuu, panua mawazo yako uelewe kuwa mm nime base kwenye huu mkeka hapa na si vingine, vyote vya pembeni unavyowaza vinaweza kuwa vya kweli lakn havina ushahidi hapa.
Gazeti reeefu unaongea pumba tuKwamba inawezekana alishapata ushauri huko nje hata kabla ya kuleta uzi hapa jf? Kwahiyo hapo umemaanisha 'possibility'. Mimi pia hoja yangu tangu mwanzo iliegemea kwenye 'possibility'... that's why nilianza kwa kumuuliza swali mleta mada endapo alifanikiwa ama la.
Kwa muktadha huo, ubishi wako hapa una mantiki ipi?
Zaidi, nikuulize, hiyo possibility yako kuwa yawezekana alishapata ushauri wa suala husika huko nje kabla hajalileta jf, so alileta suala hili hapa jf ili iweje?
Tumia common sense. Usibebe kichwa kisicho na manufaa kwenye maisha yako. Otherwise, kama una hulka ya kunyoa nywele mara kwa mara basi punguza hilo zoezi... maana nasikiaga eti wanasema Akili ni nywele.
Gazeti reeefu unaongea pumba tu