ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,592
Nashukuru kwa kuipenda maana imenisumbua kwenye ndege jet mwenzio waliniambia nipande meli eti kwani mzigo ni mkubwa
ingawaje umeniponda sawa ila mkaka usifanye hivyo jamani wakati mm nimekuja kwako vizuri na kukutupia hayo maua mlangoni halafu wewe unaisagasaga jamani watu8
kwani hupajui jamani unataka wanajf wajue unakwenda wapi kuleeeeeeeeeepm
mhm! ma'nga'na unamaanisha nini mbona sijakupata kabisa hapo? watu8
Kumbe ndio zako? Yaani watu ni vicheche humu ndaniyaani haeleweki...halafu mbona kuleee hupatikani hebu futa futa basi baadhi maana naambiwa zimejaa