Pokea Tiba ya Kisasa ya Vidonda

Pokea Tiba ya Kisasa ya Vidonda

SHIEKA

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2011
Posts
8,240
Reaction score
4,280
Usisisimke na kuota mbege kwa picha hizi.Hawa funza wakiwekwa kitaalamu kwenye kidonda kikubwa mwilini mwako utapona haraka sana. Funza hao hutokana na mayai ya yule nzi mkubwa wa kijani aishiye chooni.
GREENBOTTLEFLY.jpgMAGGOTS3.jpgMAGGOTS1.jpgKama wewe ni mdadisi SOMA ZAIDI
 
nimeiona hii kitu BBC nikachoka kabisaa. Labda wanipe nusu kaputi, na nikipona nisielezewe
 
nimeiona hii kitu BBC nikachoka kabisaa. Labda wanipe nusu kaputi, na nikipona nisielezewe
Kuna shemeji yangu alikuja kutusalimu, tukapiga stori kuhusu hayo matibabu. Alitema mate kwa kinyaa na kusema maneno hayohayo ulosema tena kwa kuapa kwa Mungu!
 
Kuumwa askwambie mtu...hata ingekua kuwatafuna wabichi nakubali
 
Kuna wale wa Fear factor wanakula sababu ya pesa kwanini mimi nisile kwa ajili ya tiba
 
Hadi mwaka 2100 kila kitu duniani kitakua deal na miji itakua misafi sana!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom