Apologise lady
JF-Expert Member
- Sep 16, 2013
- 5,980
- 3,115
kule nimefuata Pesa Ila Kwa Huyu Binti Wa Tanganyika nimeoza
Haya bhana!! Ongeza bidii labda atavutika.
kule nimefuata Pesa Ila Kwa Huyu Binti Wa Tanganyika nimeoza
daraja Mpaka november ndio linakamilika... Sasa Unaogopa Maji Ya bahari au hata ya Kuoga?
kule nimefuata Pesa Ila Kwa Huyu Binti Wa Tanganyika nimeoza
Nisaidie kuuliza.
Alikuwa anatikisa kiberiti tu huyu! Akakuta kimejaaaaa
Mweee!!! Maskinii, sijui atakuja na lipi lingine.
Atoto Unajua kanuni sahihi za mapenzi kweli?
hahahaha jidanganye tu huku unaumia kwa mbali
kila mtu atakula kwa jasho lake
Kwani Hutuwezi Kutengeneza La kwetu?
Nafikiria Juu Ya kuhamishia Majeshi kwako maana hakuna namna
Kwenye Ubongo wangu.. Hivi Atoto Hunipendi kweli au unatingisha kibiriti? Maana nawakataa wengi tu kulinda heshima yako