Pokea huu wimbo

Pokea huu wimbo

Yan hao jamaa wambie wajipange tena waje na bids yenye pesa ndefu...
Na sio kuleta nyimbo hayo ni mambo ya kizamani

Mkuu Kama Vitu vya Zamani Vinaachwa basi Nadhani Niwakati wa Kuachana na Ile staili ya Kifo cha mende maana imepitwa na wakati
 
ndio ukome na ukomae Kama ulivyo koma titi LA mamayo...... nani alikwqmbia mapenzi ni lele mama na kulegeza mkanda kiunono?
 
Mkuu Kama Vitu vya Zamani Vinaachwa basi Nadhani Niwakati wa Kuachana na Ile staili ya Kifo cha mende maana imepitwa na wakati

Ukiitumia ile lazima uachweew..
 
Hivi kumbe mtongozo bado unaendelea? atoto plz kuwa na huruma, dogo anakufa kwa kumnyima vitu vitamu...
Wewe ibra87 kama upo karibu na bahari naomba uende ukaoge uondoe gundu...
 
Last edited by a moderator:
Yan hao jamaa wambie wajipange tena waje na bids yenye pesa ndefu...
Na sio kuleta nyimbo hayo ni mambo ya kizamani

Nyimbo nitasikiliza kwa redio si ndio shem langu? Afanye mambo ya ukweli eti!!
 
Hivi kumbe mtongozo bado unaendelea? atoto plz kuwa na huruma, dogo anakufa kwa kumnyima vitu vitamu...
Wewe ibra87 kama upo karibu na bahari naomba uende ukaoge uondoe gundu...

Mie nikajua unamwambia kama yupo karibu na bank aseme nimtumie account number!!!
 
Last edited by a moderator:
We muache tu aimbeeee mpaka akauke sauti wakati suluhisho rahisiiii

We nawe hebu nilipe kwanza lile deni langu.

Deni nitalipa weekend wangu. I'll pay in kind. Wala usijali...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom