Pokea baraka izi kabla hujalala "tafadhali"

Pokea baraka izi kabla hujalala "tafadhali"

Mwinjilist mtume nabii

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2015
Posts
2,437
Reaction score
1,100
Baba Ktk Jina La Yesu Kristo, Tunakushukuru Kwa Upendo Wako Mkuu Ambapo Umekuwa Nasi Hadi Majira Haya, Kwanza Ninaomba Rehema Na Msamaha Mahali Popote Tulipokosea Uturehemu Na Damu Ya Yesu Itufutie Hatia Juu Yetu. Mungu Nakusii Mkono Wako Wenye Nguvu Uwe Pmj Nasi Ucku Wa Leo Kutulinda Na Kutubariki Ili Kesho Pia Tuendelee Kukutumikia Wewe Ulye Muumbaji Wetu. Nimeomba Ktk Jina La Yesu Kristo Na Wote Tuseme "Amen"
 
AMEN,Nakuomba na kukusihi Mungu wangu unitolee majaribu mazito niliyonayo,unibariki mwaka huu kampuni yangu ianze kazi,navunja nguvu za giza kwa jina la yesu kristo amen.
 
Thank jesus ..roho mtakatifu akae nasi atuzidishie ufunuo na hekima katika kipindi hiki cha kwaresma na maisha yetu yote amen.
 
Baba Ktk Jina La Yesu Kristo, Tunakushukuru Kwa Upendo Wako Mkuu Ambapo Umekuwa Nasi Hadi Majira Haya, Kwanza Ninaomba Rehema Na Msamaha Mahali Popote Tulipokosea Uturehemu Na Damu Ya Yesu Itufutie Hatia Juu Yetu. Mungu Nakusii Mkono Wako Wenye Nguvu Uwe Pmj Nasi Ucku Wa Leo Kutulinda Na Kutubariki Ili Kesho Pia Tuendelee Kukutumikia Wewe Ulye Muumbaji Wetu. Nimeomba Ktk Jina La Yesu Kristo Na Wote Tuseme "Amen"

Amina, asante sana!
 
Amina. Tunakuomba ewe Mungu wetu na kimbilio letu, utufunike kwa damu ya mwanao Yesu Kristo aliyo imwaga msalabani kwa ajili yetu sisi wanadamu. Utukinge na yule mwovu azungukae duniani kupoteza roho za watu, Amina.
 
Mnamsihi mungu...yes huenda kazi yake inahitaji maelekezo lakin kinacho leta faraja ni mwisho kutaja Amina..jina la mama ake nani hii
 
Back
Top Bottom