Pointer haionekani

Pointer haionekani

charleslee

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2016
Posts
408
Reaction score
201
za sa hizi wadau

pc yangu imeanza kuleta shida gan sijui yan pointer haionekani nagusa hii touch pad lakin wapi

help please
thanks
 
Kuna button ya kuificha pointer ipo ktk hizo button za mstar wa kwanza kabisa karibu na kioo/speaker kama unatumia toshiba. Hold FN button alafu ibofye utaiona pointer yako.
 
Kuna button ya kuificha pointer ipo ktk hizo button za mstar wa kwanza kabisa karibu na kioo/speaker kama unatumia toshiba. Hold FN button alafu ibofye utaiona pointer yako.
asante sana..sasa imekaa poa
 
kweli wabongo c unajua tulivo

ujanja ujanja
 
Back
Top Bottom