PM wa Uganda Kumkuta ya Lowassa ?

PM wa Uganda Kumkuta ya Lowassa ?

AK-47

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2009
Posts
1,373
Reaction score
202
Wabunge wa Uganda hivi sasa wanajadili mswada wa kutaka kumg'oa madarakani PM wao Amama Mbabazi na Waziri wa Masuala ya Ndani Hillary Onek kutokana na kashfa ya mikataba ya makampuni ya uchimbaji mafuta. Wabunge wamechachama wanataka wajiuzulu. Mmoja kamtetea katoa mfano wa Lowassa kuwa alijiuzulu baada ya kuundwa kamati kuchunguza kashfa ya Richmond hivyo PM Mbabazi naye hapaswi kujiuzulu kirahisi hivyo.Check UBC Live for more.......
 
Back
Top Bottom