Plz help!!!!!! Techno n3(android 2.3.5)

xir jyerphy

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2013
Posts
994
Reaction score
185
Habarini wana-jf...ninatumia techno n3 (android 2.3.5),tatizo kubwa ni usumbufu katika kutuma message kuanzia trh 18 august kwa mtandao wa voda...kama kuna yeyote mwenye ujuzi wa kutatua hili tatizo naomba anijuze....shukrani
 
Ingia settings then tafuta back up and restore...then restore device yako. Itakuwa ok japo utaanza upya kufanya settings.
 
Nashukuru mkuu lakini backup na restoration inamaanisha nitafuta kila kitu ndani ya simu yangu au co
 
Habarini wana-jf...ninatumia techno n3 (android 2.3.5),tatizo kubwa ni usumbufu katika kutuma message kuanzia trh 18 august kwa mtandao wa voda...kama kuna yeyote mwenye ujuzi wa kutatua hili tatizo naomba anijuze....shukrani

Hata hivyo, tangu juzi Voda inazingua. Leo ndo wamenitumia msg kuwa huduma imerejea kama kawaida baada ya hitirafu ya tarehe 16 aug 2013.
Kwahiyo yaweza kuwa ni tatizo la mtandao pia.
 
Hata mimi nimetumiwa hiyo msg but still hali ni ile ile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…