Sorry guys, pc yangu nimeitumia fresh asubuh ikiwa na charge zaidi ya 80% na nikaizima ikiwa na charge yake. Ila kuiwasha sasa hivi inaniambia plugged in but not charging. Je Hilo ni tatizo La kwenye system? (nini solution yake) au ndo betri imekufa?
Mimi ilinitokea hiyo kwenye laptop used nimeinunua karibuni but baada ya mda ikaanza kuchaji yenyewe sijui nn kilitokea, tatizo ni moja inachaji very slowly kuchaji hadi ifike 100% labda ispend masaa 12 kwenye chaji, labda ni tatizo la adapter
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.