Plot inauzwa Sinza Mori

Plot inauzwa Sinza Mori

Status
Not open for further replies.

Saplaiz

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2014
Posts
283
Reaction score
289
FURSA! FURSA!

Plot inauzwa SINZA MORI INATIZAMA SHEKILANGO ROAD,UKUBWA METER SQUARE 900.

INA NYUMBA YA KUISHI, FREMU ZA BIASHARA NA BAA UPANDE WA BARABARA. Imepimwa na ina hati.

Jaman fursa hizo kama kuna mtu anajiweza au anamfaham mtu anaeweza kupachukua tutafutane kupitia 0713 565124 au higoedward@gmail.com
------

BIASHARA HII IMESHAFANYIKA (DEAL DONE)
 
FURSA! FURSA!
Plot inauzwa SINZA MORI INATIZAMA SHEKILANGO ROAD,UKUBWA METER SQUARE 900.
INA NYUMBA YA KUISHI, FREMU ZA BIASHARA NA BAA UPANDE WA BARABARA. Imepimwa na ina hati
Jaman fursa hizo kama kuna mtu anajiweza au anamfaham mtu anaeweza kupachukua tutafutane kupitia 0713 565124 au higoedward@gmail.com

weka bei mkuu
 
Ok nimekupata kama tulivyoongea na tulivyokubaliana hiyo bei nitakupa hyo 8m kesho nakuja kumalizana mwambie kabisa afisa mtendaji.
 
unasema plot inauzwa unamanisha kiwanja...mmbona ktk maelezo yako unasema kuna nyumba na frame mkuuu...nyoosha kdg maelezo...
 
Anauza kiwanja, hiyo nyumba na frem ni nyongeza
 
Ok nimekupata kama tulivyoongea na tulivyokubaliana hiyo bei nitakupa hyo 8m kesho nakuja kumalizana mwambie kabisa afisa mtendaji.

Hahahaha hamna sehemu sinza inayouzwa kwa bei hiyo, unaingizwa chaka kaka mchana kweupeeeee
 
Umeongea na nani wewe....
Hebu tupunguze masikhara kwenye ishu serious
 
JAMANI HII ISHU NI SERIOUS SEHEMU INAUZWA SINZA MORI IME-CONSIST NYUMBA, FREM ZA BIASHARA PAMOJA NA BAA INAYOTAZAMA BARABARA YA SHEKILANGO.......KWA MAWASILIANO 0713 565124 AU higoedward@gmail.com
BEI MAELEWANO
NAWASILISHA.
 
Sio kiwanja kitupu kime-include nyumba ya kuishi, frem za maduka na baa upande wa barabara ya shekilango
 
Nadhani utakuwa umenielewa kwa masahihisho niliyoyafanya
 
Bei maelewano....nitafute kwa maelezo zaidi
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom