Nsemwas Junior
Senior Member
- Oct 23, 2009
- 173
- 60
Nyumba inauzwa ipo Kibamba Shule kilomita 1.5 kutoka Morogoro Road, sehemu ni nzuri ina eneo kubwa (miguu/feets 44 x 50 AU/OR 39mita kwa 49 mita AU 1911 square meter..eneo ni kubwa zaidi ya robo heka).Ukubwa wa eneo hili unaweza jenga nyumba nyingine kubwa mbili au tatu na bado utabaki na nafasi ya garden na parking.Eneo liko square
- Ina vyumba viwili kimoja masta
- Jiko kubwa
- Choo cha nje chenye milango miwili
- Choo cha masta ni kikubwa mno kinaweza kugawanyishwa ikapatikana bafu na choo cha public cha ndani.
- Ndani imewekwa plaster na nilu ila sakafu ni sebuleni tu na masta rum.Jinsi ilivyojengwa unaweza kuongeza rooms au structure
yoyote kadi utakavyopenda
- Iko katika eneo zuri sana,yaani tulivu na nyumba za hapa zimejengwa kwa nafasi kama ambavyo unaweza kuona kwenye picha
(Nyumba zenye ukuta na hiyo ambayo haijaezekwa ni za majirani) .Miti imepandwa yenye kuleta upepo mwanana.
- Nyumba imeshawekwa wiring na umeme na maji yako hapo nyumba za jirani kwa hiyo ni kulipia tu kwa mamlaka
husika wanakuuonganishia
- BEI ni 40,000,000.Maongezi yapo
Wasiliana nami kwa 0714/0683-796778 au dnsemwa@gmail.com.Mimi mwenyewe ndiyo mmiliki

Attachments
-
2014-02-20 12.03.19.jpg342.5 KB · Views: 162 -
2014-02-20 13.07.53.jpg488.9 KB · Views: 130 -
2014-02-20 13.21.05.jpg432.8 KB · Views: 129 -
2014-02-20 13.21.13.jpg508 KB · Views: 104 -
2014-02-20 13.21.50.jpg490.2 KB · Views: 108 -
2014-02-20 12.05.14.jpg351.6 KB · Views: 103 -
2014-02-20 12.03.46.jpg461.4 KB · Views: 88