VeronicaAmadu
JF-Expert Member
- May 4, 2011
- 310
- 380
Nimeku PM mvaa tai! Naomba unijibu tafadhali.
Asante.
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Asante.
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Wadau mwenzenu nina shida ya fedha ya haraka nimepungukiwa kama Million nne, nipo Dar nimeamua kuuza Plot yangu fasta, Ipo Dodoma ni kiwanja cha mradi kilitolewa na CDA katika mradi wa April 2006, nilinunua kwa mtu Mwaka 2008 na kupata hati miliki kwa jina langu March 2009. Ni eneo lililokwisha endelea kwani Tayari kuna mitaa ya watu wanaishi, nimekilipia kodi ya ardhi mpaka mwaka wa fedha 2013/14.
Ukubwa wa kiwanja ni Sq Metre 631. Kipo Chidachi West, block 'F' ni walkable distance kutoka St John University, Bei ni Tshs Million 4.1 Hatimiliki ninayo hapa Dar sitaki dalali, kwa mnunuzi wa kweli ani-PM ili utaratibu wa kukiona ufanyike akiridhika tufanye biashara, kwa aliye Dodoma nitamuelekeza akakione mwenyewe kwani ni rahisi kufika nikimpa namba ya Kiwanja, akiridhika anistue.
Mvaa Tai, mkuu umeuza au bado?
Mvaa Tai, sasa tukikutana na kunionyesha hati si utakuwa verified user, huogopi?
.......Japo limfichua siri limekaa kama jitu la Usalama wa Taifa.....lol
Mimi siogopi kila ninacho kipost JF naweza kukitetea mahakamani, alafu usije ukamkosea mtu kisheria humu JF ukidhania huwezi kupatikana kwasababu unatumia Anonymous name, mbona nimeonana na akina Zagazaga TEMPOLALE na hata Mfichua siri Japo limfichua siri limekaa kama jitu la Usalama wa Taifa.....lol