Plot inahitajika maeneo ya ufukweni

Plot inahitajika maeneo ya ufukweni

Manyanza

Platinum Member
Joined
Nov 4, 2010
Posts
19,946
Reaction score
45,572
Wakuu...

habari za wikiend? kuna mdau mmoja anataka kuwekeza hapa Dar es Salaa, anatafuta plot iliyoko maeneo ya ufukweni kwa ajili ya kufungua PUB na Restaurant... ikiwa na ukubwa wa 100m x 50m itafaa sana na itatosha....
iwe mahari ambapo kuna na mkusanyiko mkubwa wa mzunguko wa watu..

kama una mahali au umesikia kuna hiyo Plot wasiliana na mimi. Frank Manyanza- 0712 800 616
 
Back
Top Bottom