Plot bomba inauzwa Kipera Tandika | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Plot bomba inauzwa Kipera Tandika

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Bobby, Jun 5, 2009.

 1. B

  Bobby JF-Expert Member

  #1
  Jun 5, 2009
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 1,682
  Likes Received: 197
  Trophy Points: 160
  Plot kubwa na nzuri size ya plots nne za ukubwa wa 80"20 ambayo iko Buzza Kipera Tandika wilayani Temeke. Iko kwenye fantastic view so inafaaa kwa ajili ya residential houses. Lakini pia yaweza kutumika kama yadi ya magari na shughuli zingine za biashara. Bei ni maelewano. Kwa maelezo zaidi ya kina please call 0717 615535 or 0754 433932. Karibu sana.
   
 2. Brooklyn

  Brooklyn JF-Expert Member

  #2
  Jun 5, 2009
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 1,453
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  tutajie bei unayoanzia kabla hatujachoma mafuta kuja kuiangalia mkuu?
   
 3. B

  Bobby JF-Expert Member

  #3
  Jun 5, 2009
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 1,682
  Likes Received: 197
  Trophy Points: 160
  Thanks Brooklyn. Kwa faida yako na wengine bei inaanzia 25m. Narudia kuwakaribisha, karibuni sana wakulu.
   
 4. Mwenda_Pole

  Mwenda_Pole JF-Expert Member

  #4
  Jun 6, 2009
  Joined: Jul 5, 2008
  Messages: 260
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Wabongo bwana... eti bei inaanzia 25M.. sasa inaishia wapi..??
  Na inategemea na nini.. mtu amekuja vipi au..?? mtu akija na suti na tai ndio 25M au??
   
 5. B

  Bobby JF-Expert Member

  #5
  Jun 10, 2009
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 1,682
  Likes Received: 197
  Trophy Points: 160
  Hivi first price ni neno la kiswahili au kiingereza? Kwa maneno mengine hiyo 25m ni first price. So hakuna ubongo hapo labda ni ubongo wako ndio umekumisslead ndugu. Hayo mambo ya tai na suit yafungulie thread nyingine si hii mkuu.Kama ulisoma post ya awali tulisema bei ni maelewano so muuzaji anahitaji 25m lakini yuko flexible anaweza kupunguza chini ya hapo hiyo ndio essence nzima ya neno bei inaanzia 25m meaning hiyo ndio first price. Ushauri kwako, next time kabla hujacomment make sure umesoma thread nzima if possible usidandie train kwa mbele utakuja poteza maisha. Waendapole wengine hawabehave unavyobehave wewe otherwise tungewaita waenda kasi.
   
Loading...