Eck fulani
JF-Expert Member
- Oct 14, 2014
- 458
- 597
Husika na heading apo juu ,kiwanja kipo masasi mjini mkoa wa mtwara mtaa wa jida nyuma kidogo na soko la tandale au jirani na kanisa la sabato ,palijengwa nyumba ila kwa sasa imebaki kama gofu ,kuna umeme na maji yapo jirani sana,ukinunua unapata bati,mbao za kenchi na tofali zake,eneo ni mita 30 kwa 15 bei yake ni milion 7.5.KIWANJA KINA HATI. CONTACTS -0659976799........SOLD