du kweli si mchezo, yaani sasa tuseme ni vimiminika au sijuhi ni vinywaji?, lakini mimi nimeelewa kwamba hiyo chupa ya kwanza inaonyoesha jinsi ulivyokuwa mtoto ni maziwa tu, hiyo ya pili inaonyesha umekuwa kidogo na mzee ni mambo ya soda tu, hiyo ya tatu nadhani sasa mtu mzima umeshakama job na visenti vinaingia kwa hiyo unapata kitu roho inapenda
duu hiyo ya mwisho nadahani watu wanahesabu sekunde tu leo au kesho,
tehetehetehe