Tumia kali linux ndio mpango mzima kwenye hacking imekuja baada ya bactrack r5Wadau nimehamia sehemu kuna network ya wifi 24/7 tatizo inataka password
natumia hp laptop os windows 7
msaada kama unajua jina au link ya softwares nzuri kubypass password nipunguze ukali wa maisha
Tumia kali linux ndio mpango mzima kwenye hacking imekuja baada ya bactrack r5
Ibane serikali yako iondoe kodi za kipuuzi katika vitu kama hivi badala ya kutaka kuwaibia wenzio.
Mkongo si umekamilika au? Mcheki January kwenye Twitter au Bosi JMK mwenyewe uwaelezee ukali wa gharama za Teknolojia!
Tumia kali linux ndio mpango mzima kwenye hacking imekuja baada ya bactrack r5
Mi naenda nao kihaki ila hawa jamaa wa mjengoni hawana huruma hatakidogo... sasa kumudu bundle kwa mwezi ni kama mke wa pili kweli simchezo...true words, siku hizi najisikia vibaya kuwaibia, sina sababu, nilikuws sina hela wakati huo ila now najitahidi nilipie kadri nnavyoweza japo wanatusumbua mara kodi tena, hii nchi bwana
Typing error Mkuu. Mimi ni mtaalamu wa security, Backtrack 5 R3 nimetumia sana lakini Kali Linux ndio tool ambayo imeireplace, features pamoja na payload zake wireless yeyote napenya hata os yako ya window u hardening namna gani mimi nazama labda utoe connection ha ha hahakuna backtrack r5, kuna Backtrack 5 R3 and as far as I know Backtrack 5 R3 is the best penetration testing OS in the world.
Hapana mkuu nitakutumia nipo Mwanza kikazi nikirudi naendelea nayo Mkuu wangu C6ulitoweka baada ya pm mbili tatu
Hapana mkuu nitakutumia nipo Mwanza kikazi nikirudi naendelea nayo Mkuu wangu C6
Haina tabu Mkuu baada ya kazi Villa park ndio penyewekama utakuwepo mwanza next week tutaonana huko huko, au vipi
Haina tabu Mkuu baada ya kazi Villa park ndio penyewe
Typing error Mkuu. Mimi ni mtaalamu wa security, Backtrack 5 R3 nimetumia sana lakini Kali Linux ndio tool ambayo imeireplace, features pamoja na payload zake wireless yeyote napenya hata os yako ya window u hardening namna gani mimi nazama labda utoe connection ha ha ha
Tungekuwa karibu ungetest network yangu, but congrats km kweli unaweza penetrate network yoyote. Unawazid hata akina Edward snowden.Typing error Mkuu. Mimi ni mtaalamu wa security, Backtrack 5 R3 nimetumia sana lakini Kali Linux ndio tool ambayo imeireplace, features pamoja na payload zake wireless yeyote napenya hata os yako ya window u hardening namna gani mimi nazama labda utoe connection ha ha ha
Tafadhali wakuu na mimi naombeni mnirushie hako ka application ili niweze kuyafaidi maisha
Mama Mdogo hii Kali Linux ni appplication au os maana inakitu kama 2gb na somethingTumia kali linux ndio mpango mzima kwenye hacking imekuja baada ya bactrack r5
mkuu hii ni OS lakini unaweza kuinstall kwenye vmware Kama utakuwa na os nyingine ya windowsMama Mdogo hii Kali Linux ni appplication au os maana inakitu kama 2gb na something
Hakuna simple software ambayo utainstall kwa pc then unafanya mambo kama ipo moja naitumia kwenye iphone inaitwa 5dWifi
mkuu wireless ya nini wakati kuna ma proxy kibao ya free internet,hayo tuwaachie experienced user akina mama toto!!Tafadhali wakuu na mimi naombeni mnirushie hako ka application ili niweze kuyafaidi maisha