Please pray for this woman may Allah give her shifaa

Please pray for this woman may Allah give her shifaa

Status
Not open for further replies.
Nimetembelea chanzo chako. Bado hakijaelezea chochote. hakuna jina la pastor, jina la kanisa, hata haijulikani picha yenyewe imepigwa wapi etc, imewekwa picha halafu maelezo yanasema huyo ni pastor baas! lakini hiyo sio tabu kwani kwa jinsi unavyojenga hoja, hivyo ndio aina ya vyanzo vya habari ambavyo mtu kama wewe tunategemea utumie. Ningeshangaa kama ungeleta credible source
Huyo kiumbe amechaa chuki na usipoteze muda wako kwake. Ameshndwa hata kutoa pole kwa dada yetu anaye umwa hapa.
 
article-2510539-1988FDDE00000578-137_634x464.jpg
 
 
Last edited by a moderator:
mungu anapigwaa ! Ubungoubungo !?

'AMETUKUKA ambaye mikononi mwake umo ufalme wote, na Yeye (Allah SWT) ndiye Mwenye uweza juu ya kila kitu.

Ambaye ameumba mauti na uhai ili kukujaribuni ni nani miongoni mwenu mwenye vitendo vizuri zaidi. Na Yeye (Allah SWT) ni Mwenye Nguvu na Mwenye Msamaha.

Aliyeumba mbingu saba kwa matabaka. Huoni tofauti yeyote katika uumbaji wa Mwingi wa Rehema. Hebu rudishs nadharia ! Unaona kosa lolote (katika uumbaji ?)

Qur'an:67:1-3

'Yeye (Allah SWT) ndiye Mwingi wa Rehema, tunamwamini Yeye (tu), na Juu Yake tunategemea. Mtakuja jua (nyie makafiri mnao kanusha) ni nani aliye katika upotofu ulio dhaahiri.

Qur'an:67:29.
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom