Please! Please! Please CHADEMA nawaomba mkubali matokeo Igunga

Naona wanachadema jamvini wanaendeleana kupeana faraja! Ni ujinga kupeana faraja kwa jambo ambalo haliwezi kutokea! Idadi ya watu kwenye mikutano inawadanganya sana chadema,hata lowasa ameshawahi sema! Siasa sio idadi ya watu kwenye mikutano,bali ni idadi ya watu watakaokupigia kura!! HATA YESU AKISHUKA KESHO KUWASAIDIA CDM HAWAWEZI SHINDA! Nawaomba tu chadema kesho muache uchochezi and visingizio vyenu vya kipumbavu! MSITUHARIBIE AMANI YETU NYINYI CDM,KUBALINI MATOKEO
 
Nawewe pia unatafuta Mume.
Nimesikitishwa sana kuona MM amegonga thanks kwenye huu uharo
 

Naipenda tz lazima ulipata ajali ubongo wako ukamwagika kidogo maana inahitaji utaahira kuishabikia ccm
 
Cdm wanapenda sana kuudanganya umma wa watz pale wanaposhindwa,siyo tabia nzuri hata kidogo
Naipenda tz lazima ulipata ajali ubongo wako ukamwagika kidogo maana inahitaji utaahira kuishabikia ccm
 

<Penye red> Kwa kufuru hiyo, basi CHADEMA wameshinda. Mungu amesikia sala yako ... atawasaidia CDM.
 
i think there isnt any other crappy thing than this to tell us?​
 
Kijana mwenye uelewa bora na mwenye kujiamini hawezi kushabikia CCM, kwa lipi waliloliofanya hapa Tanzania? anyway , kwa wale wanaoridhika na kijimkate kikavu badala ya kula cake sawa, au kama na wewe upo kwenye loop ya kuiba rasilimali za nchi hii sawa, Ila kwa kijana maskini wa kitanzania ambaye anafahamu nini maana ya Maendeleo kwa kweli angeitaji mabadiliko yanayoonekana, Hospitali za serikali huduma hafifu, shule elimu duni, barabara za mijini na mikoani mbovu, watanzania walio wengi wanaishi maisha ya Aibu, inasikitisha..Resouces nyingi za kwetu zinaibiwa na ndizo zinazojenga miji ya wenzetu sisi tunabaki na ufukara wa aibu, Jana na Leo nimetembelea Brussels, Antwerp na Paris nimekutana na vijana wa kitanzania wamejifanya wakimbizi wa somalia kwa kukimbia maisha ya aibu hapo Tanzania...nNaipenda nchi yangu ya Tanzania ila voingozi wa CCM wanaiharibu....Kwa kijana yeyote mwenye akili timamu na mwenye kutamani feasible maendeleo ni lazima atahitaji mabadiliko kwenye mfumo mzima wa serikali yetu..Inasikitisha, Ebu jifikirie wewe kijana una nini kikubwa ulichopata ndani ya CCM, kama sio kijimkate kidogo wakati kulingana na resources tulizonazo ngetakiwa kupata a big CAKE, hawa voingozi wasio na uadilifu wanauza resources za nchi kwa bei cheee...WE NEED CHANGES, NO MATTER HOW LONG IT WILL TAKE....PEOPLES POWER...
 

****** wewe
 
Tatizo watz hatupendi kuambiwa ukwel,ushabiki ume2zidi hata kwenye vi2 vinavyoonekana,2cpoangalia cdm itakufa kwa wa2 kukosa focus,upende ucpende ccm imefanya mengi mema na yapo ambayo wanakosea,msitake kusema cdm iko sahih kwa ki2.CDM c imepata vit vya ubunge?2one watafanya nini ktk majimbo yao ktk miaka hii mi5 cyo maneno meeng vitendo hakuna
 

Hebu yaweke hapa hayo mengi mema yaliyofanywa na CCM.
 
Inaelekea wewe unatafuta mwanaume wa ku.........! Mthenge wewe
 

wewe nakuona unatatizo katika kuheshimu imani za watu. Tafadhali sana tena uombe msamaha.
 
Acha uchiriku panga hoja hivi uccm ni kutofikiri, huoni kwamba wizi ndio ushindi wa ccm wakati wote? unategemea nini kama masanduku ya kura yanakamatwa? lazima yako yaliyopita tuu, unaposema igunga cdm haiwezi kwani huoni tofauti ni ndogo saana, kama sio kwa wizi wenu ingekuwaje. Fikrazo ni finyu
 
CDM MMEAMINI SASA kelele za choo hazimzuii CCM kukojoa. Kama nilivyowaomba hapo juu sasa ni wakati wa kutekeleza. MMESHINDWA,MMESHINDWA,MMESHINDWA KWA HALALI KABISA. Waigeni wenzenu CUF and onesheni hata chembe ya uungwana ambao najua hamna,tangazeni kukubali matokeo. Natamani tz kungekuwa na chama cha ukweli cha upinzani,sio hawa wachumia tumbo wa cdm
 
Hekima lazima itawale,huwezi post thread kama hii bado ukajiona mtu wa hekima! Lazima tufike mahala kila mtu afanye majukum yake! Unataka cdm wakubali matokeo yapi?yametangazwa tayari? Unajua sababu za kucheleewsha matokeo? Nani mwenye busara? Tume?wewe uliyepost au wacdm??nadhani ustarabu ni muhimu sana!na ustarab ni two way traffic not one way! If else then...........????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…