Crucial Man
JF-Expert Member
- Jan 11, 2011
- 3,404
- 1,312
mkuu nimeipenda jamani mbavu zangu.unampigia mbuzi gitaa ...kwanza ndio utasikia yupo USA anaangalia kikapu
mkuu nimeipenda jamani mbavu zangu.unampigia mbuzi gitaa ...kwanza ndio utasikia yupo USA anaangalia kikapu
Mh wote walke wale kasoro majina na tareh za kuzaliwaYaani ni bora hata Yusuf Makamba angekua ndiye raisi wa nchi hii kuliko JK!
I don't think so,nadhani dunia ingetuona Watanzania matahira kama tungeongozwa na Makamba.Yaani ni bora hata Yusuf Makamba angekua ndiye raisi wa nchi hii kuliko JK!
Hashauriki nchi isingefikia ilipofikaMtoboasiri, nini maana ya uongozi?. Ni rahisi sana kuandika, kusema na kulalamika, lakini kile kiti si mchezo ndugu yangu. Kuongoza watu zaidi ya millioni 40 si kazi ndogo hata kidogo?. Tungetoa mawazo nini kifanyike pale tunapoona kumefanyika makosa ingesaidia zaidi kuliko kutoa kashfa. Tuna uhuru wa kusema ama kuandika mawazo yetu hasa katika kipindi hiki cha JK. Ni vyema kutumia nafasi hii vizuri.
Usimtusi huyo ndugu, kila mmoja wetu ana haki ya kutoa opinions. Ila tu tuwe wavumilivu JK amalize awamu yake ya II, si sawa waungwana ?ajiuzuru ushike wewe nchi? acha upumbavu kijana. hii ndio faida ya kuingia JF baada ya bia za harusi.
unamzungumzia huyu huyo Janga la Kitaifa? haachi walah....
Mheshimiwa pole na majukumu japokuwa nchi haiko shwari kutokana na mgao wa umeme, mvurugano ndani ya CCM na sasa JAIRO nae ametibua kabisa, natumani PM wako atakuwa amekupigia jana kama alivyotuahidi.
Well, mimi naelewa Rais wa nchi ni lazima asafiri nje ya nchi tunataka au hatutaki japokuwa watanzania wanalalamika eti safari zako hazina tija yoyote kwani maisha ya Mtanzania yako vile vile duni.
Najua leo uko south Africa kikazi katika kujadili maswala ya uchumi na Rias wa RSA Jacob Zuma, mbaya zaidi hii imeingiliana birthday ya kiongozi anaehishimika duniani ndugu Madiba. Watanzania wamesha anza kupiga kelele kwamba umekwenda RSA kwenye birthday na huna ziara yoyote ya kiofisi. Wachache tumejaribu kukutetea kwamba hukwenda huko kwa ajili ya bithday ila inakuwa ngumu sana kwetu kwani wanasema tusubiri kwenye vyombo vya habari utaonekana kwenye birthday.
OMBI - Najua Zuma baada ya kikao chenu atakualika kwenye sherehe lakini JK PLZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZ usikubali kabisa kuhudhuria mdanganye hata kwamba kuna report za nyumbani utakuwa unazisoma. Mimi pia ni wa pwani hivyo najua sherehe ni jadi yetu ila tafadhali kwenye hili. I want to prove them wrong
No, shouldn't be in joke's forum, I want JK to prove you guys wrong.
No, shouldn't be in joke's forum, I want JK to prove you guys wrong.
NOT ENOUGH hapo ni sawa unampigia mbuzi kinanda, kwenye birthday lazima aende na kesho ataenda Robben Island kushuhudia alipofungwa Madiba enzi hizo. Sie tuendeleze tanta-lila zetu!Mheshimiwa pole na majukumu japokuwa nchi haiko shwari kutokana na mgao wa umeme, mvurugano ndani ya CCM na sasa JAIRO nae ametibua kabisa, natumani PM wako atakuwa amekupigia jana kama alivyotuahidi.