Nyalotsi
JF-Expert Member
- Jul 20, 2011
- 6,989
- 5,066
22 yrs old
22? Una base gani ya kusecure maisha ya huyo mtu? Hayo mapenzi ya chuoni huwa yanaishia njiani, piga shule dogo. Aafu mtu mwenye hujawahi kudo naye! Loh, ngoja waje wenye historia za kubebewa kitumbua mdomoni wakusimulie machungu yake!