MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,588
Duh napata picha utakuwa uli aply vyuo zaidi ya 2 ukawa unasubilia bahati yako wapi utapata chuo ikadondokea huko sasa yawezekana ulienda kusoma kozi hiyo sio kwa matakwa yako bali upata chuo.
Hii kitu inawatokea wengi sana baadae wanajuuta wanajikuta haikuwa chaguo lao.
Bongo tambalale mama utaweza tu kubadili mbona watu wachungaji alafu wanajikita kwenye siasa. Ngoja watakuja wadau hapa kukupa mchanganuo.
Fidel inawezekana kuna ukweli kwako but no mimi niliapply chuo kimoja na ajabu ni kuwa wakati nasoma nilikuwa naenjoy sana as I was really in love with the field and hata nilivyomaliza I felt obliged kufundisha the same but now najiona kama ninajiunderuse kwa capacity yangu (si kwamba nina akili san ano) bali nadhani nahitaji kitu cha kunichangamsha niwe more active. Kwa sasa ninaweza kwenda darasani bila hata kusoma na bado nikawa na uwezo wa kufundisha vizuri kabisa but now I need a change of career.
Sijui kama naeleweka
Nimekuelewa Mwanajamii!
Sasa inabidi ulipende somo tu kama ulivyo kuwa ukilifrahi awali kwani nini kilicho kufanya kuwa bored au kuna watu wamekukatisha tamaa?
Sijui Woman of Substance yuko wapi...
Hi dia
Mbona hujanitafuta mimi?
Ngoja nimtafute WOS naona atakuja na suruhisho Mwanajamii usihofu.
Mwanajamii are u working ,currently?
Kusema ukweli hakuna kilichonikatisha tamaa pamoja na kuwa maslahi si mazuri kiiiivyo mie mwenyewe nimeridhika ila tu najihidi kama sipati changamoto ya kutosha. Ingawaje nawezasema kuwa ni sehemu ambayo iko free sana kama mtu unachakarika una uwezo wa kureap a lot but kwangu bado I feel a gap!!
Inawezekana pia nina matatizo but I just wanted to share so that I get an intelligent advice.
Sijui Woman of Substance yuko wapi.....😕
Ngoja nimtafute WOS naona atakuja na suruhisho Mwanajamii usihofu.
Lakini fanya hivi nenda kasome tu Kwa kozi yako hiyo hiyo utakuwa busy tu mama.
Kama ujuavyo hata mkiwa wapenzi iwa inafika point mnachokona then mnarenew mnaendelea kama kawa mnaenjoy hii inatokea hata kwa wale wanao pendelea kutumia Pepsi kila siku inafika kipindi anabadili ana onja hata CoKe Cola sitaki kwendelea naweza nikaharibu./QUOTE]
Duh! Dogo Fidel yaani mstari mmoja ushauri mstari wa pili umesharudi kwenye mambo yetu yaleee ya mapenzi...LOL
Sasa MwanajamiiOne, on this:
Nakushauri, unahitaji kubreak hiyo monotony, tafuta PhD mahali, social sciences ni pana kuna vitu vingi unaweza kunarrow down na ukawa busy kiasi cha kutosha. Ninachoona ni kuwa mazingira ya aina moja yamekubore tayari unahitaji kubadili.
ukirudi na PhD yako utakuwa in another level (Next Level?) na a more challenging career.
Nakutakia kila la heri.
Habarini ndugu zangu
Tafadhalini I need your advice
I have been in an academic career for quite a long time, more than 5 years in social science field, and I am really bored to the extent that I dont want to picture myself in a PHD program in the same field. I have this feeling that where I am right now is not my place. I need something which is more challenging and a thing to put me in a more challenging career.
I have been thinking of going for an MBA course or law field.
Please would you advice me on this? am I making a big mistake or not.
Kifupi nimekuwa bored sana.
hehehe akutafute wewe thubutu. Usije ukamshauri maswala ya kujiexpress bure. Akisikia Bellies itakuwaje?
Fidel inawezekana kuna ukweli kwako but no mimi niliapply chuo kimoja na ajabu ni kuwa wakati nasoma nilikuwa naenjoy sana as I was really in love with the field and hata nilivyomaliza I felt obliged kufundisha the same but now najiona kama ninajiunderuse kwa capacity yangu (si kwamba nina akili san ano) bali nadhani nahitaji kitu cha kunichangamsha niwe more active. Kwa sasa ninaweza kwenda darasani bila hata kusoma na bado nikawa na uwezo wa kufundisha vizuri kabisa but now I need a change of career.
Sijui kama naeleweka
Habarini ndugu zangu
Tafadhalini I need your advice
I have been in an academic career for quite a long time, more than 5 years in social science field, and I am really bored to the extent that I dont want to picture myself in a PHD program in the same field. I have this feeling that where I am right now is not my place. I need something which is more challenging and a thing to put me in a more challenging career.
I have been thinking of going for an MBA course or law field.
Please would you advice me on this? am I making a big mistake or not.
Kifupi nimekuwa bored sana.
Habarini ndugu zangu
Tafadhalini I need your advice
I have been in an academic career for quite a long time, more than 5 years in social science field, and I am really bored to the extent that I dont want to picture myself in a PHD program in the same field. I have this feeling that where I am right now is not my place. I need something which is more challenging and a thing to put me in a more challenging career.
I have been thinking of going for an MBA course or law field.
Please would you advice me on this? am I making a big mistake or not.
Kifupi nimekuwa bored sana.
Kuhusu kusoma MBA - hii kwa sasa imekuwa kama fasheni - kila mtu sasa unasikia anasoma MBA - lakini je wewe unataka kufanya nini na hiyo MBA yako? Nitakushauri ukae ujiulize hili swali kwanza.
Kuhusu kusoma Law - Suali langu ni je unataka kusoma kwenye level ipi?
Asante..