Please help me?

Please help me?

shasil alonso

Member
Joined
Mar 12, 2013
Posts
27
Reaction score
1
habari ndugu zangu! Mi niko poa, ila mi mwenzenu sina kazi yoyote ya kunipatia kipato, nisaidieni wadau
 
elimu yangu ya ni form iv, nimesomea udereva ila sijapata license kutoka uwezo wangu mdogo
 
Ukitaka kusaidiwa hebu jieleze vizuri kuanzia elimu yako n.k
 
Jieleze vizuri natafuta dereva wa kunipeleka kazini
 
Njoo curio and craft tufanyee biashara za mikono dogo...mbona mi lasaba ila hata chuo kikuu hawaniambii kitu,kwa fani yangu ya mkono
 
Njoo curio and craft tufanyee biashara za mikono dogo...mbona mi lasaba ila hata chuo kikuu hawaniambii kitu,kwa fani yangu ya mkono

Hiyo fani ya mikono ndo ipi au ubondia?
 
kazi .za mikono .za nyumbani unaweza ....?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom