Please help me on how to write a cover Letter | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Please help me on how to write a cover Letter

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by bahaticaro, Sep 27, 2012.

 1. bahaticaro

  bahaticaro Senior Member

  #1
  Sep 27, 2012
  Joined: Jul 20, 2012
  Messages: 100
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wanajamvi,

  Naomba mnisaidie mwongozo wa kuandika Cover Letter.
  ========================

   
 2. Obama wa Bongo

  Obama wa Bongo JF-Expert Member

  #2
  Sep 27, 2012
  Joined: May 10, 2012
  Messages: 4,769
  Likes Received: 2,503
  Trophy Points: 280
  tutajie elimu yako! maana kunasiku mtu wa diploma aliandika cover latter hatari! ningeiweka hapa mngecheka
  ili jitahidi kugoole kupata different style za cover latter
   
 3. M

  Mafuluto JF-Expert Member

  #3
  Sep 27, 2012
  Joined: Aug 25, 2009
  Messages: 1,602
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  Jamani msimtukane, ni matokeo ya sera za kyama cha Dhaifu, na upuuzi wa mawaziri mabinamu akina Kalambwa..ooops Kawambwa !Huyu ni mpuuzi kama yule Gasia au yule kiazi injinia Matomato... !!

  Ndg, cover letter unaandika kufafanua kiundani CV yako : Una uzoefu gani ktk nafasi husika, gusia skills na experience- what you did in your current and/or previous jobs- zinazoendana haswa na kazi unayoomba. Mfano: unaweza kusema when I worked as a personal assitance to Chagonja, one of my roles was to help his waifu to collect money from different people as she tapeli that his hubby will help them to get employed by Usumbufu wa Taifa. I also helped them to store money in simtanks and designed other ways to safely store the money..!! So unaonyesha kuwa wewe ulifanya nini haswa.. :)

  Onyesha kwa nini wewe unastahili hiyo kazi- why you are the best candidate, na hakikisha ni one page na kila para inawasilisha sifa/uzoefu tofauti.
   
 4. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #4
  Sep 27, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Umemaliza mkuu
   
 5. M

  MMOJA JF-Expert Member

  #5
  Sep 27, 2012
  Joined: Aug 30, 2012
  Messages: 218
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Inakuaje unatukana mawaziri,we mbona unaijua chini ya waziri gani kama sana hao?,sasa hapo ni juhudi za mtu binafsi bwana kujua kitu,tusipende kulaumu laumu tu!, NDIO MAANA NYERERE ALISEMA WATU WANAPENDA KULAUMU LAUMU TU!,HATA SURUALI YA MTU IKIWA NA KIRAKA HUYO MTU ATAILAUMU SERIKALI
   
 6. M

  Mafuluto JF-Expert Member

  #6
  Sep 27, 2012
  Joined: Aug 25, 2009
  Messages: 1,602
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  Usiwe lofa wewe, naijua sababu nimesoma chini ya waziri wa Kagame, sio huyo dhaifu, muuaji huku akijifanya anachekacheka !! Huyo Kalambwa sababu ni ndg yake lkn hana sifa za kuwa hata katibu kata... na amesaidia sana kuivuruga wizara ya elimu...

   
 7. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #7
  Sep 27, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Nimependa jinsi Mafuluto hapo juu alivo elezea... Cover letter ni moja ya njia ya kujinadi kama bidhaa vile; kwamba wewe ni bora kuliko bidhaa yoyote ile nyingine iliyopo hapo ama inayo jinadi pia. Unaonesha ubora na umuhimu wako kiufundi kwa vithibitisho pia. For instance ukisema wewe ni bigwa wa wa research inatakiwa unataja wewe ni bingwa wa research tokana na kwamba umeshafanya nyingi huku ukitaja mifano ya maeneo ya research uliyofanya ili isionekane ni maneno hewa.

  Ni kama vile unajielezea wewe ulivo katika eneo husika (unaloliombea nafasi, iwe kazi ama kitu chochote husika); Huku ukiambatanisha kwa maelezo yale ambayo yapo katika CV in relation na yale ambayo unaweza.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. N

  Nndu wa Selote JF-Expert Member

  #8
  Oct 1, 2012
  Joined: Jun 21, 2012
  Messages: 344
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 45
  Hivi aliuliza kuhusu cover letter au latter???
   
 9. N

  Nndu wa Selote JF-Expert Member

  #9
  Oct 1, 2012
  Joined: Jun 21, 2012
  Messages: 344
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 45
  Hivi mdau aliuliza kuhusu cover letter au latter??? samahani lakini
   
 10. mzurimie

  mzurimie JF-Expert Member

  #10
  Oct 1, 2012
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 6,151
  Likes Received: 1,604
  Trophy Points: 280
  Isiwe na zaidi ya paragraph nne na ziwe fupi karatasi isizidi page moja.

  Umeshapata jibu jinsi ya kuandika? Naweza kukupa tip zaidi.
   
 11. Papizo

  Papizo JF-Expert Member

  #11
  Oct 1, 2012
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 4,611
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180
  msaidie please
   
 12. kbosho

  kbosho JF-Expert Member

  #12
  Oct 1, 2012
  Joined: Jun 4, 2012
  Messages: 12,505
  Likes Received: 3,314
  Trophy Points: 280
  nyerere hakuwa mungu, ni mtanzania kma ww! Kla m2 ana uhuru wa kuwaclsha mawazo yke
   
 13. M

  MMOJA JF-Expert Member

  #13
  Oct 1, 2012
  Joined: Aug 30, 2012
  Messages: 218
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Usiwe lofa wewe, Ha matusi tena ya nini,eeh! huyo waziri kagame alikufundisha kutukana nini!, Kwenye taaluma huwa tunatofautiana kwa hoja na si kumtukana mtu!,kutoa matusi ni udhaifu wa kuishiwa hoja
   
 14. E

  Edo JF-Expert Member

  #14
  Oct 1, 2012
  Joined: Jun 11, 2008
  Messages: 728
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  CV yenyewe nayo ipo vizuri? wengine hata hiyo cover letter hawatazami mpaka wajiridhishe na CV! cover letter any consultant can do for u!
   
 15. M

  Mafuluto JF-Expert Member

  #15
  Oct 1, 2012
  Joined: Aug 25, 2009
  Messages: 1,602
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  Na wewe huyo Kalambwa ndiyo kakufundisha kuwa hayo ya suruali na viraka au ndiyo hapo taaluma yako ilipofika ukomo ?? Yaani wakisema wenye taaluma utatoka mbele na ww ??

   
 16. Andrew Kellei

  Andrew Kellei JF Gold Member

  #16
  Oct 2, 2012
  Joined: Sep 11, 2009
  Messages: 349
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Mkuu hapo kwenye red umenichekesha mpaka mbavu zikauma.
  Big up umempa mfano mzuri!
   
 17. M

  Mafuluto JF-Expert Member

  #17
  Oct 2, 2012
  Joined: Aug 25, 2009
  Messages: 1,602
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  Pole sana mkuu wangu ! Nilifikiria mfano wa karibu nikaona huo ndiyo unafaa... :tongue:

   
 18. M

  MMOJA JF-Expert Member

  #18
  Oct 15, 2012
  Joined: Aug 30, 2012
  Messages: 218
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Mmh!,Inaonyesha usemi wa nyerere umekugusa,iyo ni kawaida kupitia maneno ya watu mashuhuri kama reference!,kama ulikua ujui,ndio hivyo
   
 19. bahaticaro

  bahaticaro Senior Member

  #19
  Nov 27, 2012
  Joined: Jul 20, 2012
  Messages: 100
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Degree
   
 20. bahaticaro

  bahaticaro Senior Member

  #20
  Nov 27, 2012
  Joined: Jul 20, 2012
  Messages: 100
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Asante sana nimeelewa niliandika hat kwenye interview sijaitwa
   
Loading...