1."Kiswahili Kimataifa,Lugha ya mama kama G-son kwa cypher"--Joh makini
2."Shukrani kwa nyerere alicheza utadhani pele kuendeleza kiswahili mikoani na mbelembele tunamfagilia mzungu wakati tuna shida tele,kingeleza bila hela ni sawa na kupiga kelele"-Langa
«««««Andika kwa kiswahili»»»»»»»»