Please help me am confused | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Please help me am confused

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Ayunta, Oct 6, 2010.

 1. A

  Ayunta Member

  #1
  Oct 6, 2010
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hi people,am so desperate,before i tell you my story please dont judge me jus help me with yo advice.
  Am a female afed 27 years with two kids. am a graduate. i have been in love with my sister's brother in law for more than ten years. he loves me so much and i really love him with all my heart thou he is a bit older than me. when i was in high school we lost contacts so we were apart for like four years until i went to college. i got a boyfriend and got pregnant but before i gave birth we separated with my bf. few months later my sister's in law contacted me and we met while pregnant. since then he is the one who takes care of my son and now i have his baby girl. he is so good to me and i dont want to loose him. the problem is that my sisters are forcing me as they are claiming that they want to know their inlaw. plz hel me. he is my everything.
   
 2. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #2
  Oct 6, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  POLE
  waambie ukweli wajue
  life z ol abt hapness na km unapata furaha ukiwa na uyo shemej wa dadako haina bud...si rahisi kukubalika kwa wanajamii hasa dadako lakin hakuna njia
  ili mradi tu km uyo mwanaume hana mke wala familia km yupo sngle haaaaaa we kanyaga twende bt dahh wazazi hawatakuelewa kwa urahisi asi unajua tz swaga izo hazikubaliki kiivo thou ukiforce znaweza kukubalika?pole mwaya
   
 3. bacha

  bacha JF-Expert Member

  #3
  Oct 6, 2010
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 4,336
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135

  nimekupata mama wa kanyaga twende!
   
 4. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #4
  Oct 6, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
   
 5. Who Cares?

  Who Cares? JF-Expert Member

  #5
  Oct 6, 2010
  Joined: Jul 11, 2008
  Messages: 3,465
  Likes Received: 1,950
  Trophy Points: 280
  ayuntaaaaaaa...pole sana kwa kupata taaaabu na vijitatizo vidoooogo...hivi unadhani hawatajua kuwa unaliwa na shemeji wa dada yako?...vunja ukimya .."USINGOJE WATU WA MAREKANI WAKULETEE UJUMBE HUU"... Wape live sisters wako..n u will be surprised unagundua one of ur sisters is secretly dating you "secret lover"
   
 6. LeopoldByongje

  LeopoldByongje JF-Expert Member

  #6
  Oct 6, 2010
  Joined: Apr 28, 2008
  Messages: 373
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  If you love him and he is everything to you; you have nothing to be ashamed of. Tell your sister and all who care for you that you are in Love. After all you do not have any barrier between you two. He is not your blood relative or kinship. Go Mama Go. Come in the open and let every body know of this. Unless he does not want this information made public. Otherwise you are free to do what you want.

  Good luck and God bless you two and your Kids.
   
 7. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #7
  Oct 6, 2010
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 719
  Trophy Points: 280
  kwanza ndo umejiunga na jamvi, kufika tu shiiida kabaooo.....help meee!!!

  kuna watu bana uwezo wao wa kufikiri sijui ukoje, kuna vitu vingine unatumia akili tu then unafanya maamuzi. huyu dada namuweka kundi moja na jamaa yangu mmoja nae kila kitu anachofanya lazima aulize mtu.... eti vipi niende ******?! nataka kwenda mjini benki kuweka pesa eti unasemaje niende?.......

  tumieni akili sio kulia lia, sasa unataka kufafucha ndugu zako wakati wanakulelea?!!!1
   
 8. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #8
  Oct 6, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  I dont get the picture seeing the whole scene, the reaction and the mixed feelings of the whole saga
   
 9. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #9
  Oct 6, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Nyamayao nasubiri kusikia kutoka kwako
   
 10. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #10
  Oct 6, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,034
  Likes Received: 23,788
  Trophy Points: 280
  I dont know if unajuaring kiswahili bikoz zis langweji bana iz not mai maza tang...sasa hebu nambie who is the real father of your kid?? Your new found boyfriend or your sister's brother in law? Me konfyuzd hapo!!
   
 11. funzadume

  funzadume JF-Expert Member

  #11
  Oct 6, 2010
  Joined: Jan 28, 2010
  Messages: 6,459
  Likes Received: 2,045
  Trophy Points: 280
  huyo in-law wa sister wako ni in-law wako pia ingawa mmeshamegana na kuzaa basi mtambulishe tu ila kama ana mke ndio itakuwa imekula kwako, naona mazingira yanaonekana huyo jamaa ana familia yake nyingine ndio maana mnaficha
   
 12. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #12
  Oct 6, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Mkulu hapo na mimi ndio nimemuuliza swali pamenikonfyuz totalee kabithaaa
   
 13. I

  IshaLubuva JF-Expert Member

  #13
  Oct 6, 2010
  Joined: Dec 4, 2008
  Messages: 248
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Miaka 27 toa miaka zaidi ya 10 = miaka 16 kurudi chini. Simaanishi kukuhukumu

  Mean while kuna mdau mmoja amepost thread inayosema "Points on how to improve your life", pointi ya 11 inasema hivi: nukuu;

  "No one is in charge of your happiness except you" mwisho wa nukuu. Uamuzi ni wako kuipata furaha ama la.
   
 14. A

  Ayunta Member

  #14
  Oct 6, 2010
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Thank u so much people.

  he is not married and among the kids one is his.
   
 15. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #15
  Oct 6, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  Alikuwa wa kwanza? au ulianza ukiwa 12? I mean no harm.
   
 16. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #16
  Oct 6, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  better awareness leads to better understanding which leads to better decision which again leads to better results
   
 17. Joel

  Joel JF-Expert Member

  #17
  Oct 6, 2010
  Joined: Sep 1, 2007
  Messages: 908
  Likes Received: 259
  Trophy Points: 80
  dada Ayunta hilo swala mbona dogo sana. kama huyo jamaa anakupa furaha, amani na upendo, basi hapo ndipo pa kushikilia, swala la kusema ni shemeji wa dadado au whatsoever halina uzito kwani moyo hauchagui mtu wa kupenda na kumpenda huyo na kuwa naye siodhambi hata kidogo wala sio kinyume na maadili ya kitanzania na kiafrika.kula raha maamaaaa
   
 18. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #18
  Oct 6, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  eeh shost sasa unataka nin tena apo?
  maisha mafup sana dadangu we sikiliza moyo unataka nini as far as haumuumiz mtu au kuvunja sheria...
  km kuvunja miiko tumeivunja mingi saaaaana km dhambi tumeztenda saaaaana y then i yako ndo iwe nyekundu kupita zooote?
  uyo wa kwanza kukunyoshea kidole thats isnt accptbo in our family mchek yeye km yote anayoyatenda yanakubalika kwa jamii yenu?
  na mtoto umemzalia tayar sas unataka uende wap tena?na kumpenda unampenda?mbona unauliza leading questn shoga?
  we we fanya kweli mwambie dada akawaambie wengneo uko then u make t oficialy kwa introduction ya family nzma

  smtmes liberal life is good!
  sasa watoto wawil tayar do u thk utaendelea tena kusaka wanaume wengne wa kuzaa nao?au unataka kila mtoto na babake?apo apo mwaya libeneke liendeleze...mi mwanzo nilizan unamtoto mmoja tu sema anakusaidia kumlea kumbe ana kitoto chake pia +unampenda then unauliza ufanyaje??eeh we wawap?
  km ulikuwa unajishtukia aya yote yatakuwa msala badaye y then ulikubali mpk akuzalishe?ahh saa ingne nakuonea uruma saaa ingne nakuona mzembe bt ol is yametokea ndo ivyo fanya km juu apo wataalamu walivyokushauri
   
 19. Fixed Point

  Fixed Point JF Bronze Member

  #19
  Oct 6, 2010
  Joined: Sep 30, 2009
  Messages: 11,321
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
   
 20. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #20
  Oct 6, 2010
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Tuandikie kiswahili au kimatumbi wengine kiingilishi kimetupitia pembeni
   
Loading...