Dozencut
Senior Member
- Apr 13, 2015
- 159
- 38
This isnt true as some women experience anorgasmia whereby they cannot orgasm. This doesnt mean they cant enjoy sexual pleasure. Orgasm tends to be the end of the journey but travelling to that point can be just as much fun than reaching it.
USHAURI,
Wanaume nawasihi sana pale inapotokea uko na mke wako au rafiki yako wa kike kwenye sita kwa sita, zingatia yafuatayo:
kwanza kabisa tambua wewe ndo dereva wa gari hilo,
1. Endesha pole pole, abiria atafurahi zaidi na atakuwa na uhakika wakufika safari salama kabisa, atajenga matumaini na wewe
2. Hata kama haujisikii kuchimba dawa simama japo dk 1, na kabla ya kufika eneo la kuchimba dawa simama hata zaidi ya mara 5, ikiwezeka chomoa ufunguo kabisa tena jaribu kuwasha tena gari lako kwa kutumia kisu,
abiria anapenda sana kuangalia madhari ya sehemu mbalimbali anakopita,
atachelewa kufika ila ataona mengi sana njiani,
kuona kwake mengi njiani ndo furaha yake,
3. Ukishamfikisha ataoga, atapumzika huku akirudisha kumbukumbu za yooote aliyoyaona njiani, na atafurahia kufanya utalii huo kwenye gari yako.
4. Kama utamkimbiza na ukamfikisha haraka, hataona chochote njiani na itampelekea asiwe na uelewa wowote na njia aliyoitumia, kamwe hatafurahia safari, na gari hilo hatalipanda tena unless zingine zote zimeshaondoka, sometimes anaweza postpone Journey.
KUSAFIRI POLE POLE NIKUJIFUNZA MENGI.