MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,563
Ungegunduaje wakati hukuweza? lolKwa nini sikuweza kugundua siku zote....MJ1 ndie Da Sophy...!
Ungegunduaje wakati hukuweza? lolKwa nini sikuweza kugundua siku zote....MJ1 ndie Da Sophy...!
Ungegunduaje wakati hukuweza? lol
Mkimaliza kuulizana mseme nimtoe!
Ndio ina maana kubwa sana ujue.Hivi ina maana .......au ngoja nitarudi naenda kwenye tafakari
Ndio ina maana kubwa sana ujue.
Hidden in a place where even via mobile is not possible
Hommie utayaweza haya yalio nikuta?Sasa kwa sababu nimeweza....ukimwachia Kimey, mi ntakuja kwa hiari....(ila Babu yako nae kwa kutoa macho....)
Hommie utayaweza haya yalio nikuta?
Hommie utayaweza haya yalio nikuta?
Hehehe orait orait najuta kufanya infii na member! Mbinu zote za kutoroka anazijua dah haijawai tokea hii! Ndo naachiwa sasa! Nguo zililowekwa cm ilifichwa! Kwa kweli Chuda Raha na Makorora twadeka!
Sasa mamito mbona hukunipa taarifa! Kumbe ulivyokua uniaga kwenda bafuni ndo ulikua una post ! Cjui kwa nn ckulitambua hili..Kimey yupo kwangu ngoja nimwambie anatafutwa
Tatizo la G-Y huwa hasomi nyakati...Jana generation y amekutafuta kwenye log book za guest zote za TANDALE, KEKO, BUGURUNI, lakini hakuona jina lako
Tatizo la G-Y huwa hasomi nyakati...
Hehehe vita ni vita mura ila vitanyingine mh!Haki ya nani....kijana umeelekeza shingo usawa wa kisu kwa hiari yako!!!!
Mwanajeshi haogopi vita bana....
'Posted via Mobile'
Hommie we acha tu....Da Sophy umemuacha wapi?
Hommie we acha tu....
Hehehe vita ni vita mura ila vitanyingine mh!
Utalipa garama ya usafiri wa kuzunguka kila kona na kozi ya mimi kujifunza nyakati