Please do the nidful

Hii mutu kwishaonekana?

Hebu acheni masihara, tukutane tukiwa na kiu tujadili cha kufanya. Mdudu awepo kwa ajili ya kufukuza pepo wa kupotea!
 
Gesti zote za Tandale umeulizia?

uuufff...uuuuufff...aisee hoi hapa....huwezi kudharau amrisho la wazee....ndo narudi toka kucheki hayo maeneo..kote tandale, keko, buguruni hamna kitu....nimekagua mpaka vitabu vya wageni..naambiwa katoka sasaivi!
 
Orait Orait...Yawezekana atakuwa kaishia msituni, kwenye machaka yasiyoendekeza kuandika majina kwenye vitabu vya wageni... Yule kijana huwa anahitaji nafasi tu ili a do the needful!
 
Jamani hiki kikao kifanyikie keko gerezani ili :fish: nae ashiriki

Anaweza kutoroka ila tutaangalia njia mbadala ya kumfanya amalize kifungo kabisa labda kumpelekea al-batar, hivi kimey hajaenda usalule kweli umeenda kumuangalia huko
 
Da Sophy naona kama ajashusha injini basi mwambieni kuna meli ya wachina imetia nanga!
 
Back
Top Bottom